Monday, 23 March 2009

LAzima tukutafute ili TugaWane umaskini



Mh. J K, naomba utuletee mtu huyu kwenye sheria. sisi wanyonge hatujui yuko wapi, lakini tunajua yupo sehemu. mzee huyu ni tajiri sana, tena sana, ila pesa zote hizo ni dhuruma ya jasho la wanyonge. naomba ndugu wananchi wenzangu tusaidiane katikakufichua viongozi mafisadi wamaotudidimiza kiuchumi.
watoto wetu wanahitaji kwenda shule, matibabu hospitalini na matatizo chungu mzima. Lakini wenzetu hawa ambao wengi wao hawajasoma, hawaijui shida ikoje. wanakunywa maziwa toka wako wadogo.
Naomba watafutwe hawa.

Asante sana, mzee zeuchungu kwa kunipostia hii. big up.

14 comments:

  1. natamani na huyu nae akamatwe kama wenzake.

    ReplyDelete
  2. HATA MIMI SIMPENDI SANA HUYU MPANDA FARASI

    ReplyDelete
  3. JAMANI SISI watanzania ni wajinga sana. huyu jamaa kajiuzuru hjalafu kaenda wapi? mbona hatuhoji jamani tupotupo tu. mimi naoa sas ni tuwe na mabadiliko ya hekima na busara. hawa mafisadi watatuchezea mpaka lini? jamani

    ReplyDelete
  4. hivi huyu msenge ataendelea kujirusha kwa hela zetu mpaka lini si akamatwe tuuuuu????

    ReplyDelete
  5. kweli mwanangu huyu kuma hata mimi mwenyewe nammaindi kichizi yaani. sielewi yaani kajiuzuru halafu kapotea kabisa.

    ReplyDelete
  6. kweli watanzania tunaamka sasa hivi. TOKA kipindi cha nyerere huyu bwana alikuwa tayari ni tajiri. Baba wa taifa alikuwa hataki kabisa huyu jamaa apewe ngazi ya juu ya uongozi kwa kuwa alijua fika atatufirisi.
    Kwanza nimeshangaa kumwona kwenye Youtube.com akiongea kingereza ambacho hata mwanasekondari haongei hivyo. ni kibovu yaani nimecheka mpaka basi.

    ReplyDelete
  7. Nani alimweka huyu kijana hapo kwenye Uwaziri mkuu? Labda alimweka ili aje aangushwe kama ilivyotokea! Kazi ya Rais ni ngumu hata kama sijawahi kuifanya. JK amechemsha mno hapo, hata kama ni rafiki yako wa karibu,(si uongo kila mtu anapenda kufanya kazi na rafiki yake)

    Wewe ni raisi, marafiki ulionao kikazi ni wachache mno,(Mkapa na Mwinyi ndio wanaelewa mzigo wako) lakini ulitaka mwenyewe kuuchukua na furaha tele ulikuwa nayo uliposhinda, haya cheza sasa muziki umeshafunguliwa. Nyerere hakukosea kukusubirisha miaka 10 maana ungekuwa unatahamaki sasa kuona watu uliokuwa unawategemea kufanikisha mambo ya maendeleo ndio wanaokwamisha jitihada zako, Lowasa ni mmoja wapo tu. JK vaa njuga zenye chuma chini, hakuna wasaidizi wa refa kwenye hii mechi, washabiki tunataka ushindi tu, offside au la, ushindi tu!

    JK amezungukwa na majangili yaliyokubuhu kusema ukweli, narudia tena marafiki ni Mkapa na Mwinyi tu. Kingunge hafai,Malecela hafai (wote hawa ni wanaotakiwa kustaafu na kupotea ktk macho yetu, Nyerere alishindwa kwa sababu yao), huyu kwenye picha nae hafai, ni mapema mno kusema aliyoyafanya JK lakini ni sehemu nzuri aliyopo, anachotakiwa ni kusoma zaidi watu kama anavyowawezea ......(nadhani mnanielewa hapo wanaume wenzangu) Hizi nafasi za juu serikalini au jeshini ambako raisi ndiye anayeteua, zipewe watu wanaostahili zaidi kiuwezo kuzimudu, urafiki upungue kidogo hapo.Nimesema sana kwa sasa, asubuhi njema.

    ReplyDelete
  8. KAKA NAKUUNGA MKONO KWA SWALA HILI YA KWAMBA JK AMECHEMSHA KUMWEKA HUYU JAMAA.
    SINA MENGI YA KUONGEA ILA NACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBA, HUYU ALIWEKWA KUTOKANA YA KWAMBA ALIKUWA NA NI BADO RAFIKI MKUBWA WA JK, HAPA TUSIBISHANE.
    NDIYO TUONE NI JINSI GANI SERIKALI YETU ILIVYOJAWA NA DHAMIRA. KUWEKANA KATIKA MADARAKA, IWE NDUGU KWA NDUGU, AU RAFIKI NA WATU WA KARIBU KUNAITWA KWA KIZUNGU(NEPOTISM)
    WATOTO KIBAO WA WAKUBWA WAPO BOT NA HAWANA HATA SIFA YA KIELIMU KUWA PALE. JAMANI TUUNGANE KATIKA KUKOMESHA MASUALA KAMA HAYA. PLEASE...PLEASE.

    ReplyDelete
  9. HUYU MPUMBAVU SIMP[ENDI KINOMA, NAWEZA HATA NIKAMBAKA KAMA TUKIKUTANA WAWILI TU.

    ReplyDelete
  10. msela wangu anamtomba mtoto wa kaka yake kwao wanahela hao duuu

    ReplyDelete
  11. nyie semeni sana tu lakini mwenzenu ndiyo k wanza anakula kuku kwa mrija wala hana wasi na muda wa kubishana na maskini kama nyie. pusi waporini nyie

    ReplyDelete
  12. ningeanza na mwenye blog ni mpumbavu kwanza comment utasoma wewe na wapumabvu wenzako!kwa sababu mtu na akili zake asomi matusi!pili watu wako wana andikia chuki!jamaa ameenda shule!ana dgree!masters!anavuna alicho kipanda!kuna sheria sio wana kamatwa kamatwa tu!ooh maneno mengi mshikaji wangu anakula mtoto wa kaka yake ana ela!he has no bro!alikufa long time!so some time uwe unafikiria na watu wako pia!stupid all!

    ReplyDelete
  13. Hapa naona kuna watu wanaguswa kwa sababu tofauti, kuna watu wanapenda na hawatoacha kulalamika kisa wengine wanatajirika au wanafanikiwa kuliko wao, na kuna wengine wanatetea kutokana na ukaribu walionao na huyu mtu.

    Tuache matusi,kama hauna la kuchangia la maana funga domo na fanya shughuli zako nyingine, huyu mtu atawajibishwa lakini kazi ni ndefu na nzito, yaani mpige kelele hadi mchoke huyu atafikishwa tu. Sio peke yake lakini, kuna wenzake pia, tutaongelea mambo yasio na faida, tusubiri wakati ufike, sheria itafanya kazi, mchana mwema.

    ReplyDelete
  14. sawa Anony wa 03:49 na wewe ndiye uliyenivtia kuliko watu wote hapa. lakini naweza kuwatetea baadhi yao kwa kusema kwamba wengi watu sisi binadamu hatuna subira huo ndio ukweli na kitu ambacho labda kinafanya watu wasiiamini serikali kwamba hawa wahusika watafikishwa kwenye sheria ni kwamba serikali yetu immejawa na baadhi ya viongozi wanafki tena saana tu.

    SWALI LA WATU WENGI NI KWAMBA WANATAKA WAJUE NI LINI? HATA KAMA WATAKAMATWA JE NI LINI WATATIWA HATIANI?

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.