Saturday, 28 March 2009

HATIMAYE MKAPA AZUNGUMZA


RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa amekanusha matumizi mabaya ya ofisi yake na kuanzisha biashara akiwa madarakani.Akihutubia wananchi katika Kijiji alichozaliwa cha Lupaso, Wilaya ya Masasi, Mkapa alisema wanaomtuhumu wanamchukia kwa kutowapendelea wakati wa utawala wake.Katika hotuba yake hiyo aliyoitoa wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya tiba kwa Kituo cha Afya kinachomilikiwa na Kanisa la Katoliki kijijini hapo, alisema; “Msisikilize uongo huo kwa sababu hauna msingi wowote isipokuwa ni chuki …hasa inayotokana na watu ambao walifikiri nitawapendelea … sikuwapendelea,” alisema Mkapa huku akishangiliwa na wanakijiji wenzake waliohudhuria makabidhiano hayo.Alisema kuwa yeye si tajiri na kwamba tuhuma hizo ni za uongo na hivyo kuwataka wananchi kuzipuuza kwa kuwa hazina msingi wowote wala chembe ya ukweli.“Sina uwezo wa fedha ingawa najua mnasikia na kusoma mengi …naishi kwa pensheni yangu kutoka serikalini kutokana na kuwa kiongozi kwa miaka 10 ambayo hata Mzee Mwinyi anaishi hivyo maana sisi sote ni wastaafu. Huo (uvumi) ni uongo …uongo ….uongo ….uongo …uongo….uongo….uongo,” alisema Mkapa.Katika hotuba yake hiyo Mkapa hakujibu tuhuma dhidi yake moja kwa moja Kwa kipindi kirefu sasa Mkapa amekuwa akituhumiwa kwa kuendesha biashara akiwa Ikulu na hasa kuhusu umiliki wa Kampuni ya Tanpower inayomiliki hisa nyingi katika Mgodi wa Makaa ya Mawe ya Kiwira mkoani Mbeya. Imekuwa ikidaiwa kwamba Mkapa alishirikiana na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona katika kununua hisa za Kiwira kwa matarajio kwamba umeme ungezalishwa kutoka hapo baada ya muda mfupi ujao na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) lingelazimika kuwalipa takribani Sh milioni 140 kwa siku, hata bila umeme kuzalishwa.

14 comments:

  1. siku zote mfa maji haachi kutapatapa. lakini ukweli bado uko palepale.

    ReplyDelete
  2. HIVI HUYU MZEE ANATUTAFUTA NINI ? ANATUONA WATANZANIA MAFALA SANA WA KUTUPIGA PROPAGANDA..

    WEWE NI FISADI TENA MKUBWA SANA.MIRADI YOTE ULIYOTAJWA UNAYO NA DEALS ZOTE UNAZOFANYA WATU WANAJUA..UNAKIMBILIA KIJIJINI KWAKO KUJIKOSHA..


    KARIBIA KILA SEHEMU NZURI TANZANIA UMEWEKEZA.MOSHI, LUSHOTO,MWANZA, DAR,MOROGORO,ZANZIBAR UNA MAJUMBA NA HOTEL KISHA BADO WASEMA .UONGO UONGO UONGO....WEWE MWENYEWE NDIO MUONGO!!!

    ReplyDelete
  3. NDUGU WATANZANIA WENZANGU KAMA IPO SIKU NITAKUTANA NA HUYU FALA, BASI MAISHA YANGU NITAYAMALIZIA JELA. SIWAAMBII NITAFANYA NINI ILA NITAHAKIKISHA NAJITOLEA KWA AJILI YA WATANZANIA(WALALAHOI)WENZANGU.

    ReplyDelete
  4. siku zote bume-jike(shoga) hakosi cha kusema . lazima atalalamika mpaka umpeleke shoping.
    Huyu msenge kumamake ni kuma sana, anaongea utumbo tu kuma huyu na ndiyo kwanza ananizidisha machungu mkunduni mwangu. kuma mako kuma weeeeeeeee!

    ReplyDelete
  5. sisi walalahoi ni panya na viongozi ni paka. Je tutaweza kumfunga paka kengere?

    ReplyDelete
  6. NDUGU ZANGU WADAU, KAMA HATUNA USHIRIKIANO NI KAZI BURE,

    ReplyDelete
  7. HAHAHAHAAA haaa haha
    AMA KWELI SIASA NI SIASA

    hebu isome hiyo habari hapo juu,halafu tafakari idogo,

    mkapa alikua anaongea na wanakijii wa newala
    katika mazingira hayo mkapa anaongea na watu ambao wana kiwango finyu cha elimu, watu ambao wana fikra za kichama zaidi ya maendeleo,
    watu ambao kununua gazeti kwao ni anasa.

    mimi nilitarajia ange simama kwenye vyombo vya habari na kuwahutubia watu wenye challenge zao za maisha, matabaka yenye jicho la tatu lakuweza kupima na kubaini ukweli wa mambo
    anaenda kwenye watu waliosoma na kuishia darasa la saba.

    namsifu kwa kuweza kukuza uchumi TU BASI.

    hebu ngija tumchambue,
    sakata la kira kati yake yeye na daniel yona ni la kweli kabisa na nikitu kisicho fichika,

    sakata la BAES na vifaa vya kijeshi tulivyopewa kuna hela imelika

    rada ni signature yake na mpaka waziri wa uingereza CLARE SHORT kuidhinisha uchunguzi na tanzania kupunguziwa gawiwo kwenye mfuko wa msaada wa uingereza.

    ndege ni yeye mwenyewe,

    sasa turudi kwenye MAMA ANA MKAPA FOUNDATION
    hapandio pesa nyingi ya kapa ilipo pitia. kiufupi hivi VIPROJECT vya wake za marais ndio sehemu muafaka za kupitishia pesa chafu za waume zao

    hizi organizations zina fadhiliwa na serikali na hatuoni matokeo yake.
    NINI TOFAUTI kati ya MAMA MKAPA FOUNDATION na WANAMA ya MAMA SALMA KIKWETE???
    objective ni sawa hamna tofauti nazote zina fadhiliwa na serikali WATANZANIA TUNAIBIWA HAPA.

    kwanini mama mkapa asi step down na kumpisha mama salama kama hizi foundations zina umuhimu na zote zinalenga kuwasaidia wanawake.

    hawa wanawake wenyewe sioni maendeleo yao sioni
    wana saidiwaje? au ndio wanawake WAKE ZA MAWAZIRI NA WABUNGE.

    WATANZANIA TUFUNGUE MACHO

    MWANDISHI HURU
    A.K.A
    MPITA NJIA

    ReplyDelete
  8. du kweli noma

    ReplyDelete
  9. MKAPA NA MKEWE WA MUDA WAMETUFIRISI SANA HAWA. NAOMBA WASHUGHULIKIWE NAO ILI NASI TUFURAI NA PESA ZOTE WALIZOZIIBA ZIRUDISHWE KWA UMMA

    ReplyDelete
  10. KAMA MWENYEZI MUNGU ANGENIPA UWEZO WA KUHUKUMU BASI HUYU JAMAA ANGEKUWA WA KWANZA KWENYE LISTI YANGU. YAANI SIMCHUKII WALA SIMPENDI NIPO BETWEEN. THIS IS AN ASSHOLE, GUYS

    ReplyDelete
  11. HUYU jamaa ni tajiri sana yaani alikuja sehemu fulani nilimwona kwa mara ya kwanza uso kwa uso halafu kanenepa huyo mpaka basi.

    ReplyDelete
  12. duuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  13. Respect and that i have a tremendous proposal: What Is House Renovation whole house remodel

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.