Friday, 27 March 2009

Watanzania Tuamkeni kutoka usingizini.




Jengo hilo hapo juu ni la BOT(BANGAIZA ONGA TOKOMEA) NDIYO ILIYOKUWA OFISI YA JAMAA HUYU ALIYEITWA ETI, Mh. daudi balali ambaye picha yake ndiyo hiyo hapo juu.
Mara tu ya kubainika kiasi kikubwa cha pesa kilichoibwa na mafisadi, jamaa huyu alikimbilia nchini marekani kujificha. Habari zake zilienea, lakini cha kushangaza kulitokea na uvumi kuwa jamaa amefariki.
Hebu watanzania wenzangu tusiwe mambumbumbu. Iweje jamaa atoroke nchini halafu akafie marekani na kukata roho? na taarifa itolewe na ndugu zake?
Je ni nani aliyeushuhudia mwili wa jamaa huyu ukiletwa kwa ndege kuja kuzikwa bongo?
Mimi binafsi nilisikitika sana tena kwa uchungu mkubwa kusikia jamaa amefariki, ila siyo kwa sababu nahuzunikia kifo chake, la, ila ni kwa sababu hakutakuwa na mtuhumiwa na kutokana na hili basi ushahidi utakuwa umepotea. PESA ZIMEENDA NA KODI BADO TUTALIPA TU.
Je kuna yeyote anayeniunga mkono kwa suala kama hili?

18 comments:

  1. HUO WOTE NI USANII TU! IWEJE MAITI YA BALALI IWE SIRI ISIONWE NA WATU? WATANZANIA WASIFANYWE MAFALA KIASI HICHO! BALALI KATOROSHWA NA VIGOGO WA SERIKALI YA CCM ILI KUFICHA UOZO WAO NA ILI KUUPUMBAZA UMMA WAKAZUA ETI KAFARIKI!
    UPUUZI MTUPU!

    ReplyDelete
  2. HUU NI UFISADI NA UJANJA MMOJA WAPO WA RAIS KIKWETE MNAYE MUITA MTU WA WATU..

    KIKWETE NA WAKINA BALALI NA HUYO JAMAA SIJUI MU IRAN SIJUI MHINDI ROSTAM AZIZ NA WENGINE WENGI WAMECHUTA HELA NYINGI SANA ZA WATANZANIA HAPO BOT..

    ReplyDelete
  3. HATA KUKU WA UGONJWA WA KIDELI HUWA HAFI HARAKA KAMA ILIVYO TOKEA KIFO CHA BALALI.

    ALITAKIWA KWANZA AKAMATWE AWEKWE CHINI YA ULINZI HATA AKIWA HOSPITAL ILI AKIPONA AJE KUJIBU MASHTAKA..LAKINI CHAKUSHANGAZA ETI KIKWETE ALIMSIMAMISHA KAZI ILI KUFANYA UCHUNGUZI PASIPO KUMWEKA CHINI YA ULINZI..

    TANZANIA KWA MTINDO HUO GATUFIKI POPOTE..FANYA WEWE MWENYE SHILINGI MIA TANO MFUKONI ISSUE KAMA HIZO UONE KAMA HUKUFIA KEKO.

    ReplyDelete
  4. JAmani sisi ni wajinga au?

    ReplyDelete
  5. hata kama huyu kuma kafa lakini bado serikali inajua pesa zilipo. Hivi? wakati pesa hizo zinasafirishwa au transfer kulikuwa hakuna wakaguzi wa mahesabu? kwa sababu huwezi kusafirisha mabilioni kwa siku moja. Naomba aliyekuwa mkaguzi wa mahesabu wa serikali naye atafutwe na akamatwe.

    ReplyDelete
  6. naaaaam yalllaaa hapo umenikuna
    ngoja niweke herufi kubwa

    HUYU JAMAAA BWANA NA SHINDWA NIANZIE WAPI
    BUT HAPA PANA FAA;

    WATANZANIA AT LEAST TUWE KAMA WAKENYA KIDOGO NASI TUWE TUNA HOJI MAMBO KAMA HAYA
    BALALI ALIKUA MFANYA KAZI WA BOT, AKIWA KAMA KAMA GAVANA WA NCHI NI CHEO KIKUBWA SANA

    SASA KILICHO NISHANGAZA HAIKUKUWA NA WAWAKILISHI WOWOTE WA KITAIFA, SI WAZIRI, SI UONGOZI WA JUU WA BOT, WALA HATA KAMATI YA BUNGE BASI HATA UJUMBE KUTOKA WIZARA YA FEDHA KWENDA KWENYE MSIBA NA KULI WAKILISHA TAIFA.

    HATA WATANZANIA WALIOKUWA NCHINI MAREKANI WALIPEWA ADRESS FEKI, NA UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI HAUKUTOA TAMKO LOLOTE KWA HALI HIYO TETE

    HATA HAYO YOTE BASI HATA PICHA??
    HAIKUWEPO PICHA YA MAREHEMU WALA PICHA YA MAZISHI YA MAREHEMU.

    HUU NI MCHEZO NA TUNACHEZEWA KIINI MACHO
    KABLA YA KIFO CHAKE ALITAKIWA KUKABIDHI PASI YA KUSAFIRIA HIVYO ALITAKIWA KUWA NCHINI AKIWA CHINI YA ULINZI

    VYOMBO VYA HABARI VILIPOHOJI RIDHAA YA KUSAFIRI ILITOKA WAPI KIMYA KILITAWALA N KILA KIONGOZI KUKIMBIA LAWAMA

    HALI HALISI NI WINGU ZITO MACHONI PA WATANZANIA, HILI SWALA HATA VIONGOZI WA JUU WATAKUWA WANA LIFAHAMU, BALALI NDIO ALIKUWA KEY PLAYER WA UBADHILIFU WOTE NA ILIKUWEKA MAMBO KIMYA NA KUFICHA SIRI NZITO ILIBIDI AFE KIFIKRA

    MAANA UTATA ULIKUWA FEZA ZILITUMIKA KWENYE UCHAGUZI, WALIOIBA WOTE NI WABUNGE WA CHAMA
    NA KILA ALIYEMPIGIA ALIMPIGIA KURAPIA MHESHIMIWA
    SASA NDIPO TULIPOSHIKWA MASIKIO HAPO.

    SIDHANI KAPA WENGI WANAELEWA JINSI ISIVYO SALAMA KWA KESI KUONGOZA NA DPP
    KWA UCHACHE:
    1.ANA MAMLAKA YA KUMWACHIA MTUHUMIWA NA KUFUTA KESI BILA YA KUHITAJIKA KUTOA MAELEZO YOYOTE
    2. ANAONGOZWA NA SHERIA YA MASLAHI YA NCHI AMANI IKIZINGATIWA NA KUWEKA MHIMILI SAWIA WA MUONGOZO WA SERIKALI, SERI KALI NI CHAMA NA WALIOKULA NI WATENDAJI WA CHAMA
    3.ANA MAMLAKA YA KUPANGA MWONGOZO MZIMA WA KESI, IKIWANI PAMOJA NA KUPANGA MDA, KUBADILI SIKU
    NA N.K


    WATANZANIA AMKENI

    MANDISHI HURU

    ReplyDelete
  7. jamaa uliyeandika hapo juu una akili sana tena sana tu. yaani huyu mshenzi iwe amekufa au hajafa basi lazima pesa zipatitane. pesa zipo wadau na serikali inajua zilipo na waache unafki wa kutuchekea. najua JK anajishaua kuwakamata baazi ya mafisadi ili kutushawishi tumpe kura zetu mwaka 2010, ila ukweli bado uko pale pale ya kwamba sisi watanzania tuna huruma na wepesi kusahau machungu(HATUJALI HAKI ZETU). tuungane jamani.

    ReplyDelete
  8. JAMANI HUYU MWIZI WETU HAJAFA. KUNA TETESI YA KWAMBA AMEONEKANA SWEEDEN

    ReplyDelete
  9. serikali wanatuchezea tu. wote ndiyo wale wale

    ReplyDelete
  10. MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI AMINA, JAPO NAJUA HAJAFA HUYU, YUPO HAI

    ReplyDelete
  11. huyu wala hajafa ni magilini tu serikali inatuchezea.
    atafutwe

    ReplyDelete
  12. barabara wadau hapa ni uzushi tu.huyu YUPO KAFICHWA.

    ReplyDelete
  13. zis is bit funny, wadau. zecomedy

    ReplyDelete
  14. mimi likuwepo kwenye mazishi,ni kweli alishafariki.amini usiamini ukweli ndio huyo.rip balali

    ReplyDelete
  15. Anony wa 09:45 je kuna picha zozote ambazo zilirusha kwenye vyombo vya habari kuhakikisha kifo chake? ni stesheni gani hiyo? maanaake huyu alikuwa kiongozi mkubwa hapa bongo kwa hiyo lzm video ya mazishi yake ingekuwapo. WALALAHOI HATUAMINI BADO.

    ReplyDelete
  16. jogoo la shamba6 April 2009 at 18:05

    anony 12:00 njoo silver spring maryland usa tutakuonyesha kaburi

    ReplyDelete
  17. ANONY WA 18:05 USIMWAMBIE anony wa 12:00 ya kwamba aje maryland ili umwonyeshe kaburi kwani si yeye mwenyewe ambaye anahitaji uthibitisho huo. ni UMMA WOTE KWA UJUMLA.
    suala la kaburi ni dogo sana kwani kama kuna mtu anaweza ku-act kwenye movie yupo kalala kwenye jeneza je itashindikana katika suala kubwa kama hili? tunaamini linaweza kuwepo kaburi la bandia lenye jina lake.
    LABDA KIDOGO TUNGEONA PICHA AU VIDEO KIdogo tungeamini japo iz not garanteed.
    TUMA PICHA KWENYE HII BLOG email ipo hapo juu. ILI MWENYE BLOG HIII AWAHAKIKISHIE WATANZANIA YA KWAMBA BALALI NI KWELI HATUNAYE.

    PEACE.

    hata mimi nina

    ReplyDelete
  18. UFISAAAAAAAAAAAAAAADI NI SUMU YA MAENDELEO.

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.