Friday, 27 March 2009

JE HAKI ITATENDEKA HAPA???????????

Huyo hapo juu anaitwa Mh. Andrew Chenge ambaye anashikiliwa na polisi kutokana na ajari iliyotoke maeneo ya oysterbay jijini dar na kusababisha vifo vya wasichana wawili ambao mpaka sasa hawajatambulika.
Ndugu zangu wadau nimeposti picha hii ili na nyie muweze kuchangia mada kuhusu suala hili.
Wiki moja iliyopita Kijana aliyekuwa akimwendesha Mh. Chacha Wangwe Mbunge wa Musoma siku ya ajari iliyosababisha kifo cha kiongozi huyo, alihukumiwa kwenda jera kwa muda wa miaka mitatu. Sasa je haki itatendeka hapa? au kutakuwa na ubabaishaji?
Kwa upande wangu naomba haki itendeke ili kuwe na angarau usawa wa kisheria kati ya matabaka yote(vigogo na walalahoi)
Tusingependa kumwona bwana huyu anatokomea mitini bila ya adhabu yoyote ile.
Nawasikiliza ninyi wadau.

8 comments:

  1. mzee chenge karibu sana huku gerezani. lakini sijui watakupeleka la wapi. kama la keko basi mie nitashukuru kupata mke. Nitaipa pongezi sana Serikali

    ReplyDelete
  2. JAMAA ANAONESHA ANA MKUNDU MNATO MNOOOOOOOOOOO. MAANAAKE NIMEMWONA TU KWENYE PICHA MBOO YANGU IMEDINDA, KARIBUKARIBU MGENI WANGU SEGEREA. NAJUA TU WAKATI WA UJIO WAKO HUKU SISI LAZIMA TUTOANE NGEU(MANUNGU YA USOOOOOO)

    ReplyDelete
  3. WELL jamaa amekana shitaka linalomkabiri na kesi imehairishwa mpaka tarehe 30 mwezi huu. lkn naomba niulize mbona aliyempiga bwana mwinyi kibao alihukumiwa mara moja bila kesi kuhairishwa, je hapa kuna nini jamani?

    ReplyDelete
  4. JAMANI MBONA HATUWAHESHIMU VIONGOZI WETU?

    ReplyDelete
  5. domo kama anapuliza moto vile..... ha ha ha ha

    ReplyDelete
  6. DU KWELI NAONA WADAU UMEWACHOKA HAWA VIONGOZI WANAOTUZINGUA ZINGUA. POA LAKINI TUTAKUTANA NAO JERA TU. LAZIMA WAJE ILA TUKITAKA HILI LITOKEE BASI TUKIPE CHAMA KINGINE ILI KIBADIRISHE KATIBA YA NCHI

    ReplyDelete
  7. GUYS THIS IZ JUST AN ACCIDENT AS NORMAL.

    ReplyDelete
  8. HATA KAMA NI AJALI TU LKN TUNATAKA HAKI ITENDEKE.

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.