Habari za kazi bwana zeuchungu. mimi ni kijana ninayeishi maeneo ya magomeni., naitwa bwana Jackson Kamati. kwa upande wangu mimi sio mpenzi sana wa siasa, lakini nimetokewa sana kuvutiwa na baadhi ya viongozi ambao naweza kusema ni mfano tosha wa kuigwa. Raisi wetu Mh. J K Kikwete, ni baadhi ya viongozi nimaowazungumzia.
Ukiachilia mbali udhaifu wa kibinaadamu, ambao kila mmoja wetu anao. kwa kweli wapo viongozi ambao ni (Men of the people.)
Mimi napenda kuipongeza selikari yetu ya awamu ya nne kwa kunyanyua uchumi wa nchi yetu, ni vyema tuwapongeze.
Rais wetu amejutahidi, na bado anajitahidi kwa nguvu zote kuhakikisha nchi yetu inajolikana na mataifa ya ulaya, kitu ambacho kinasaidia sana soko letu likuwe.
Pamoja na jitihada zote hizi, lakini kuna baadhi ya viongozi ambao hawajui nini umuhimu wa kazi ambao wanakwamisha kwa kiasi kikubwa kuendelea kwa uchumi wetu. naomba wajirekebishe, la sivvyo tutawaweka hadharani.
PONGEZI NAKUPA TENA Mh. JK.
WAKO, J KAMATI.
DAR-ES-SALAAM.

JK watanzania tunakuzimia sana tena saaaaaana tu. tunatamani hata ubadilishe katiba ili ukae milele. wewe ni mfano wa viongozi wanaofaa kuigwa, na sio tanzania tu, bali ni duniani kote.
ReplyDeleteKAMA UTATUKOSEA TUTAKUSAMEHE SABA MARA SABINI KAMA YESU ALIVYOWASAMEHE WANAFUNZI WAKE, KWANI TWAJUA WEWE NI BINADAMU NA UNA MADHAIFU. ILA KWA VIONGOZI WALIOTUTUPA HATUWEZI KUWASAMEHE NA MUNGU AWALAANI.
HAPANA !!!! HUYU NI FISADI TENA NAMBA MOJA..HUPO HAPO KWA MIGONGO YA MAFISADI..HAKUNA LOLOTE.
ReplyDeleteSEMA KIPINDI ALICHOPATA YEYE KAZI NI KUBWA YA KUWASHAWISHI WATANZANIA KUELEWA KILE WANACHOTAKA WAO KIELEWEKE..!!
KIKWETE ALISHAWAHI KUHOJIWA NA MWANDISHI WA HABARI KUHUSU MKAPA, NA JIBU ALILOMPA MWANDISHI NI "siyo vizuri kufuatilia viongozi"
ReplyDeleteLAKINI KISHERIA NA HAKI WANANCHI WANA HAKI YA KUHOJI LOLOTE WANALOLIONA HALIENDI SAWIA.
KAMA RAISI ANAJIBU KAMA HIVI, NDO KUSEMA HAKI YETU HAIPO? MIMI BINAFSI NAONA HUYU JAMAA(KIKWETE) NI MBABAISHAJI(MSANII) HANA LOLOTE.
jk ni msanii tu. mimi naona bora akajiunge na wakina joti na mpoki awe anatuchekesha tu kwenye tv. ni myeyushaji, he is not a m an of the pipo.
ReplyDeleteje JK ataupata uraisi mwakani?
ReplyDeleteaaaah wapi hawezi kupita. Laiti kama ningelijua basi nisingempa kura yangu mwaka 2005. hali imekuwa ngumu kuliko hata kipindi cha fisadi mkapa. yaani JK ni msanii saaaanaaaaaaaaaaa tena sana tu, watu hawakutegemea.bora apumzike tu.
ReplyDeleteKWELI KABISA HUYU NDIO WALEWALE KINA MKAPA. NI FISADIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDeletezecomedy
ReplyDelete