Wednesday, 25 March 2009

MFANO MZURI WA VIONGOZI WANAOFAA KUIGWA.


Mkuu wa majeshi ya ulinzi kamanda Devis Mwamunyange akikabidhiwa nishani ya ushujaa na raisi wa visiwa vya comoro Bw. Sambi mara walipomtembelea visiwani humo. tanzania alisaidia sana ktk kuleta amani na kuikomboa Comoro.

8 comments:

  1. pongezi kwako kamanda.

    ReplyDelete
  2. Anapewa nishani kwani yeye ndiye alienda kupigana? Mapraiveti, makoplo na masajenti walioenda kumwaga zege ndio wanastahili nishani!

    ReplyDelete
  3. Kweli anastahili. Kudos!

    ReplyDelete
  4. wewe Nesta(mbeya) wazungu wanasema The history remember The King and not a Soldier. hii inamaanisha historia inamkumbuka mfalme na siyo askari. Jenerali ni mtu mkubwa sana jeshini so kama atakataa basi hakuna vita tena, hasikari hawatapigana. hivyo mh. hapa inabidi apongezwe kwa kazi nzuri, jamani tuacheni majungu mtu anapofanya vizuri mwacheni asifiwe.

    ReplyDelete
  5. WATANZANIA BWANA. KILA KITU LAZIMA WAKOSOE KIWE KIZURI AMA KIBAYA.,

    ReplyDelete
  6. ujicho umemlegea, bravo le' general

    ReplyDelete
  7. lol ni handsome

    ReplyDelete
  8. Jicho lake linanyegesha, lol kajaliwa angekuwa demu ingekuwa balaa mtaani. Hongera zake kwa kutunukiwa medali.

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.