Nashukuru sana tena sana tu, Serikali yetu ya JK kwa kuwatia nguvuni watu kama hawa wasiotaka kugawana umaskini na sisi walala hoi. Japo ya kutiwa nguvuni ningeomba serikali yetu pia iwatie hatiani. Maana yake tumeshazoea kuchezewa na huwa hatufuatilii kesi. Jamani watanzania watu kama hawa wenye ubinafsi naomba wakomeshwe mara tu wanapobainika ili tuweze kujikwamua kiuchumi.
ni mimi wako mpendwa,
JACOB.
ni mimi wako mpendwa,
JACOB.
STERING HAUAWI. MZEE WETU HUYU HAWEZI KUFUNGWA HATA KIDOGO. MNAJISUMBUA TU.
ReplyDeletehaya ni magilini tu. huu ni mchezo serikali inatuchezea tu. hakuna lolote litakalofanyika ni kujiandaa na uchaguzi wa mwakani.
ReplyDelete