Man called Zitto Kabwe akihutubia huko songea. Ni mwanasiasa aliyejaribu kuiteka Tanzania Hasa kwa ujasiri wake wa kuwafichua viongozi MAFISADI. Mswali yanakuja:-
JE JAMAA ANA NGUVU YA KISIASA KULIKO MBOWE?
JE ANAWEZA AKACHAGULIWA KUIWAKILISHA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010?
KAMA KWELI ANA NGUVU KISIASA JE ANAWEZA KUPAMBANA NA MZEE MZIMA MH. JK KWENYE UCHAGUZI HUO?
nasubiri kusikia kutoka kwenu wadau.
JE JAMAA ANA NGUVU YA KISIASA KULIKO MBOWE?
JE ANAWEZA AKACHAGULIWA KUIWAKILISHA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010?
KAMA KWELI ANA NGUVU KISIASA JE ANAWEZA KUPAMBANA NA MZEE MZIMA MH. JK KWENYE UCHAGUZI HUO?
nasubiri kusikia kutoka kwenu wadau.
hana lolote huyu, ni bwana mdogo kisiasa. mnaona hata maziwa hayajamwisha mdomoni, atarudi kunyonya ziwa mla mamaye. Hawezi kushindana na JK
ReplyDeleteNILIKUWEPO SIKU HII ALIYOKUJA SONGEA.
ReplyDeletehuyu ndiye OBAMA wa afrika.
ReplyDeleteHANA LOLOTE FALA HUYU NA HAWEZI KABISA KUMFIKIA JK, TENA HATA KIDOGO. ATAWAPATA WA HUKO HUKO KWENU KIGOMA SIYO HUKU DAR KWA WALA KUKU. ATAENDELEA NA MWENZAKE MBOWE KUCHIMBA CHUMVI HUKO UVINZA NA KUISHIA KUWA MBUNGE TU. KWANZA HANA MVUTO. KITU JK BWANA
ReplyDeletehuyu si lolote si chochote.
ReplyDeletezito anajitahidi...bado hajakomaaa vizuri kisiasa na vigumu kwa awamu kupata nafasi ya kugombea urais....ila anajuhudi na ipo siku atakua mkombozi wa Taifa letu
ReplyDeleteHIvi nyie wote mnaomshadadia huyo zito mnaishi nchi gani. Huyu fala kushiney tayari fedha ya rostam kwenye dowans imeshamharibia mrundi huyu. na mwisho ni mnaomfagilia JK mchovu mwingine kama mnampenda sana mpeni tigo
ReplyDeletehakuna kitu hapa,hana lolote jipya!
ReplyDeletekwanza ikibidi tuanze kuangaliana ,ninawasiwasi kuwa si mtanzania,asije kuwa ametoroka huko GOMA,kipindi kilee cha mwanzoni.
hana mvuto hata kidogo,anaweza kukosa hata ubunge asipoangalia !
WADAU MNA CHUKI SANAAAAA. DU KWELI JAMANI HUYU MKAKA SIO MTANZANIA?
ReplyDeleteEVERY DAMN TIME i hear ABOUT this MAN, it makes me feel sooo relax, and want to escape for a trip just TO SEE WHO HE IZ!!
ReplyDeleteZITTO KABWE...you are genius! BEST POLITICIAN EVER!
i agree 100% i don't get why people say that ZITTO is better than JK i mean i think thAT KABWE and his members of CHADEMA have good voices to speak DEMOCRASY but honestly it's nothing compared to CCM or JK who have voices that almost everyone likes IN POLITICS. U BETTER WATCH OUT GUYS
ReplyDeletehuyu zitto ni mburundi mvua samaki. jamani naomba tumfuatilie huyu ili nchi yetu isije ikauzwa.
ReplyDeleteanahitaji muda wa kulelewa kisiasa ili aweze kujua namna ya kusoma alama za nyakati,kutokurupuka,kujua muda wa kuongea na muda wa kunyamaza!
ReplyDeleteakiwa mvumilivua baadaye anaweza kufika mbali kisiasa hila anahitaji kuwa msikivu na kuwa makini na urafiki wake na watu wa aina ya rostam,ngeleja,idriss rashid hasa kipindi hiki ambapo yupo kwy chama ambacho watanzania wengi wanaamini kwamba kinaweza kuwa chama mmbadala kwa ccm!
kwasasa vyeo alivyonavyo vinamtosha wakati akiendelea kukua!
suala la Dowans lilikuwa mtihani mkubwa sana kwake na akashindwa vibaya na kupata sifuri...thanks to people like mzee edwin mtei,freeman mbowe,dr.slaa kwa kutumia busara zao kumlinda na kumuongoza kijana kwani alishazama kwenye mtego wa mafisadi!
mzee mtei akamwambia kaa kimya na usiongelee tena swala la dowans!
sahivi yupo katika shut-up state of mind ukiwa ni ushauri toka kwa wazee wenye busara!
KAAAAAAZI KWELI KWELI YAANI HUYU JAMAA NI MSHAMBA MPAKA BASI. WATU KAMA AKINA ROSTAM WAKIWA KAMA WATATU HIVI WAMSHAWISHI TENA BASI TUTAONA KIJANA WETU HUYU AKIFUNGA NDOA NA MMOJA WAO. KUWA MAKINI SANA BWANA MDOGO LAASIVYO TUTAKURUDISHA KWENU KIGOMA UKAVUE DAGAA NA KUCHIMBA CHUMVI. NINACHOKUSHAULI NI KWAMBA SIYO KILA UNALOLIONA BASI LAZIMA ULISEME HADHARANI KWANI MAMBO MENGINE HUWA HAYASEKEKI. WEWE NI MWANAMUME HIVYO UNAHITAJIKA UWE NA MOYO WA KUTUNZA SIRI NA KUHIFADHI HESHIMA ZA WATU. NA MWISHO KABISA UKAE UKIJUA YA KWAMBA WEWE UPO KWA AJIRI YA KUIJENGA SERIKALI NA UMMA MZIMA NA SIYO KUUBOMOA, KWANI CHOCHOTE UTAKACHOKISEMA INATEGEMEA NA JAMII INALIPOKEA VIPI SWALA HILO. ANYWAYZ BIG UP 4 UR WORK AND BEST OF LUCK
ReplyDeleteMTOTO WA KINJE. a.k.a mkusanya kodi
JE HUYU SIYO MTANZANIA KWELI?
ReplyDeleteNakubaliana na mdau 03 April 2009 04:42, huyu kijana bado ni mdogo, hajakomaa kisiasa, inanikumbusha kipindi kile JK akataka uraisi kifimbo akamwambia subiri miaka 10 (ambalo lilikuwa jambo la busara).
ReplyDeleteBado ana umasikini akilini, tamaa za hapa na pale na ujanja mwingi, ashukuru wazee wanamsaidia abaki mtoto mzuri, ujana una tabu nao, siku hizi mtu ana miaka 30 anataka nyumba ya kifahari,gari la maana etc, sawa unaweza ukafanikiwa kuvipata lakini haitakuwa katika njia iliyo halali (muda mwingi) tujifunze uvumilivu, tuishi na tulichonacho kwanza, kuna mwanasiasa mkongwe marekani ambaye alijaribu kuwania uraisi kupitia republican anaitwa Ron Paul, alisema "we have lived beyond our means and now we have to live beneath our means", wakati huo alikuwa anaongelea hali ya uchumi inavyoporomoka.
we unaetengeneza laki 1 au milioni 1 n.k. tumia hela kuzingatia hicho kipato, hii tabia ya kuiga ni ushamba tu na hamna lolote, mtaishia kuiba na hatimaye kufungwa, huu ufisadi mwisho wake unakaribia, hawa watu wanaoongelewa watafikishwa panapotakiwa na wataaibika baada ya JK kuchukuwa awamu ya pili. Nawatakia mchana mwema.
CCM HOYEEEEEEEE!
ReplyDeleteJAMANI SIASA KITU KIMOJA KIZITO SANA UKIZINGATIA KUNA KILA AINA YA UPINZA, KWA KWELI INAKUBIDI UWE JASIRI LA SIVYO MAMBO YATAKWENDA KOMBO. MIMI KWA UPANDE WANGU SIIJUI SIASA VIZURI LAKINI NAWAONA WATU WALIOJIINGIZA KWENYE SIASA JINSI WANAVYOTESEKA HASA PALE UNAPOKUWA HUNA SERA. KUNA MSEMO USEMAO "MTOTO AKILILIA WEMBE MPE" SASA HAPA NIKIMZUNGUMZIA KIJANA HUYU KABWE NI KWAMBA HAWA NDIYO WATU WANAOPENDA KUDANDIA TRENI KWA MBELE HALAFU WANAGONGWA.
KIJANA HUYU ANAJITAHIDI KWA HALI NA MALI KU-FORCE ILI AJULIKANE KWA HARAKA LKN UKWELI NI KWAMBA KIJANA BADO NI MCHANGA WA SIASA NA ANASTAHILI AJIUNGE NA CCM ILI AFUNDISHWE SIASA YA KWELI NA SIYO YA UBABAISHAJE.
HUYU NI KUJANA MDOGO SANA TENA SANA KUIONGOZA NCHI YETU YA WATU WENYE UPEO MBALIMBALI WA KISIASA NA ISITOSHE SIDHANI KAMA WATU WATAMKUBALI JAPO SISI WATANZANIA TUNA HISTORIA YA KUMWAMINI MTU KWA MUDA MFUPI JUST 4 A SMALL THING.
ANYWAYZ NISISEME SANA NIKAWA NAKOSEA ILA CHA MSINGI NASISITIZA YA KWAMBA HUYU BADO MDOGO SANA KISIASA ULIKINGANISHA NA MBOWE, LIPUMBA, MREMA NA KUBWA MWENYEWE JK.
DU naona wanaotoa comment humu karibia wote ni wasomi manaake maelezo yao yametulia kisawasawa yaani we acha tu.
ReplyDeleteWAZUNGU WANASEMA "It is impossible to upgrade from a 386 to a Pentium. Your brain might stop functioning, from a fatal error"
ReplyDeleteBWANA KABWE NAONA KICHWA CHAKO NI KIDOGO SANA KISIASA HIVYO NAOMBA UKAE PEMBENI KIDOGO MPAKA UTAKAPOKUA.
mskikaji ana tamaa kama mbuzi dume. aqnataka apate kila kitu kwa wakat mmoja.
ReplyDeleteDU JAMANI KWELI MNA HASIRA
ReplyDeleteKAAAAAZIIII KWELI KWELI!!!!!!!
ReplyDeletehuyu ni bwa mdogo saaaaaaaaana tu kwa JK yaani inabidi akajifunze kuchamba kwanza halafu ndiyo aingie kwenye siasa si lele mama jamani inahitaji moyo.
ReplyDelete