JAMANI NAITUMA PICHA HII KWENU WADAU BAADA YA KUPATA HABARI HIVI PUNDE YA KWAMBA:
ALIYEKUWA MKE WA RAISI WA ZAMBIA ALIYESTAAFU MAMA REGINA CHILUBA AMEHUKUMIWA KWENDA JERA KWA MUDA WA MIAKA MITATU NA NUSU BAADA YA KUPATIKANA NA HATIA YA KUTUMIA PESA ZA SERIKALI KINYUME NA KATIBA KWA MASLAHI YAKE BINAFSI.
REGINA AMEKUTWA NA KOSA LA KUPOKEA PESA ZA WIZI ZA SERIKALI NA KUNUNUA NYUMBA MBILI ZA KIFAHARI WAKATI MUMEWE AKIWA MADARAKANI.
SWALI LANGU LINAKUJA HAPA. JE MAMA HUYU ATASHUGHULIKIWA NA VYOMBO VYA SHERIA?
MALI ZOTE ALIZOIBA WAKATI WA UTAWALA WA MUMEWE ZITARUDI KWENYE MIKONO YA UMMA?
NI NANI ATAKAYEMTIA HATIANI?
nasikia alikuwa na hoteli zikiitwa lamanda karibu na uwanja wa karume kwenye mataA YA kuelekea buguruni. ni kweli?
ReplyDeleteACHA KUCHONGA KUMA WEWE. NAJUA MNAOTOA KOMENTI HUMU KARIBIA WOTE HAMNA KAZI ZA KUFANYA NA NINA HISI WENGI WENU MNATOKEA HUKO MANZESE NA BUGURUNI KWA MFUGA MBWA. KMA NYIEEEEEEEEEEEE
ReplyDeletehuyu nae atatiwa hatiani tu
ReplyDeleteAnony wa pili hapo juu wewe kenge kweli!
ReplyDeletenchi inatafunwa kama haina mwenyewe na watu wanajitolea kusema ukweli ili umma utambue udhalimu huo wewe unatoa mitusi!
ulizaliwa sentimeta mbili toka tundu la choo cha wanafunzi!
anony wa 09;55 kweli una busara sana nakufagilia waaaaaaa. Kweli kabisa kuna watu hawajui nini maana ya haki. Haki ni kitu cha msingi ambacho kila mtu anatakiwa apate. ila sisi watanzania tunaishi bila kutambua haki zetu za msingi.
ReplyDeleteJamani mama Anna mkapa alianzisha mifuko yake ya wanawake ambayo wazungu huita CHARITY ili kuiba pesa za umma. NAOMA NDUGU ZANGU TUACHE FITINA NA MAJUNGU, WATU HAWA WAFIKISHWE KWENYE VYOMBO VYA SHERIA JAMANI.
maza mchawi huyu atawaloga wote mnaotoa komenti hapa shauli zenu.
ReplyDeleteuso mkavu kama gome la mti na sura ngumu kama jiwe.
ReplyDeleteJAMANI MBONA MAMA MKAPA ANATOA MISAADA KWA WATU TENA SANA TU. HIVI BINADAmu mfanyiwe nini ili mlidhike?
ReplyDeleteAnony wa 06:39 kweli unachekesha. kitu anachojaribu kukifanya mama huyu ni COVE-UP of what she have done. but her EVIL still ADORABLE. U CAN'T BE SERIOUS MAN, COME ON.
ReplyDeleteKwanza kabisa hongera kwa kufungua hii website.Ebwana mi ni mkereketwa tena sana tu.The whole game sucks me 2 death...How politic is played back home is damn shit!!!Big issue ni sisi watanzania baadhi yetu tunadanganyika na vi2 vidogo vya muda...mfano..Azimio la Arusha...Who can tell me more abt it????wht da hell is happening into it??????Now someaone puts his/her ass on da chair and get da money of da hardworkers...Y???y?????y????y??y???kwa nini????I think best cc ambao tumebahatika kupata uvumbuzi tuungane na tuunde chama cha wananchi...ambacho kikitoka kimetoka na cha msingi ni kuwa kamili.....mfano mzuri ni Kenya kama walivyomfanyia kazi Moi wakati uleeeeee...bac Tz pia tuamke!!huyu mama anafaa apewa hukumu yake na asilete ubwenyenye kwa nguvu za wa2!!!Naamini one day things will workout na hata kama ni vitukuu ama wajukuu bac lazima watashika jembe na umma utapata haki zao...Hakuna mbaya aendaye bila hukumu...hukumu ni hapa duniani kwanza then unaeenda kumalizia uendako.Thanks....rusha jina ukipenda.....Balozi wa UK.
ReplyDeletehuyo mpuuzi wa pili hapo juu ana undugu nae!!naskia familia ya miwani wameoa dada yake!!
ReplyDeleteBalozi wa UK nakufagilia kwani unajua sana mambo. wewe ndiyo mmoja kati ya watu waliotoa mawazo yenye kujenga katika blog hii. big up BALOZI
ReplyDeleteWASENGE AO YEYE NA MUME WAKE ,WANANITIA UCHUNGU NA UTAJIRI WAO WA KUIBA BILA HAYA.KUMAMAMAE ZAO...
ReplyDeleteMAFISADI DAWA YAO MAWE TU,HUU MCHEZO WA KUFIKISHANA MAHAKAMANI WANATUYEYUSHA TU.SASA IVI WOTE WAKO MAKWAO WANAJIVUNIA UFISADI.
ReplyDeletegud idea of the blog... but the focus needs to change continuously.. brings motivation to ur members... topics needs to be truthful n non biased. but congrats...
ReplyDeleteNASIKIA ANA DOGODOGO MMOJA ANAMLEA MITAA YA NANIHII.
ReplyDeletehata akiwa na hela kiasi gani bado anivutii ni bola nipige nyeto tu nijue moja. yaani sura yake inanitisha hata siielewi na unaweza ukaota
ReplyDeleteKAMA MWENYEZI MUNGU ANGENIPA UWEZO WA KUHUKUMU BASI HUYU mama ANGEKUWA WA KWANZA KWENYE LISTI YANGU. YAANI SIMCHUKII WALA SIMPENDI NIPO BETWEEN. THIS IS AN ASSHOLE, GUYS
ReplyDeletesura yake chachuuuuu! Ananikera huyo binadamu pamoja na mwenzie! wizi mtupu.
ReplyDeleteHAHAHAHA KWELI WADAU UMEAMUA. BIG UP
ReplyDeletewhats goes around come around
ReplyDeletejamani mi nafikiri tunahitaji kujiuliza aina za viongozi tunaowachagua,mi I think first thing ni kucheza na kura zetu,hatupaswi kuwachagua wajinga kama hawa ama familia zao sababu mwisho wa siku cc ndo tunaoumia
ReplyDeletehuo ni upumbavu wetu watz NAOMBA SASA TUAMKE TUPIGANIE HAKI ZETU ZINAZOLIWA NA WACHACHE,SILAHA ZUNAZO TENA KILA MTU MWENYE UMRI WA KUANZIA MIAKA 18 ANA SILAHA YAKE TUWANYIME KULA KWA KUTOWAPIGIA KURA WOTE TUNAOONA/KUHISI NI MAFISADI NI HAPO TU NDIPO TUTAKAPOWEZA JIKOMBOA,WAKIIBA KURA ITAZUKAVITA LETS LEAN FRM OUR NEIGHOUR,GUYS WE CAN DO IT
ReplyDeletewel done guys u being so specific about ur temper which caused by "AN ABANDONED HUMAN RIGHTS" that u been given recentlly. thats cool wadau.
ReplyDeleteWhile powerless people suffer, those with power grow fat. this iz true
ReplyDeletekama mama huyu atatiwa mikononi mwa sheria basi nadthani ndugu watanzania watajisikia faraja sana tu. TUSAIDIANENI JAMANI KATIKA KUKOMESHA HUU UFISADI.
ReplyDeleteNA WEWE UTAKUJA TU HUKU SEGEREA MUNGU YUPO BWANA NINAAMINI FIKA UTAKUJA.
ReplyDeletehuyu mama ni mchawi sana tu yaani nammaind kinoma
ReplyDeletePELEKA NA HUY SELO AKANYEE DEBE.
ReplyDelete