Sunday, 5 April 2009

LINI UMESIKIA TANZANIA KIONGOZI AMEFUNGWA?

jAMAni NDUGU zangu naomba mnisaidie kidogo kuhusu sheria ya TANZANIA, JE IPO KWA AJILI YA KUWAKANDAMIZA WALALAHOI AU WATU WA MATABAKA YOTE? KESI ZA HAWA WATU HAPO CHINI NA WENGINE WENGI MIMI SIELEWI JINSI ZINAVYOENDESHWA. NAZIITA NI MCHANGA WA MACHO TU(DANGANYA TOTO .
NAOMBA MWANGALIE HIZI PICHA HAPA CHINI NA MAELEZO YAKE HALAFU MNIELEWESHE JAMANI MANAAKE MIMI NIKO NJIA PANDA.


Bw. ANDREW CHENGE AMEKANA SHTAKA LAKE LA KUSABABISHA VIFO VYA WAMAWAKE WAWILI KUTOKANA NA AJARI ALIYOISABABISHA. KESI YAKE IMEHAIRISHWA MPAKA TAREHE 30 April.

KIJANA ALIYEMPIGA KIBAO MWINYI ALIHUKUMIWA KWENDA JERA KWA MUDA WA MWAKA MMOJA.





DEUs Mallya aliyekuwa dereva wa Mbunge wa Tarime marehemu CHACHA WANGWE alihukumiwa kwenda jera kwa muda wa miaka mitatu.







8 comments:

  1. DU JAMAA MWENYE SURUALI NYEUSI NA SHATI JEUPE KWENYE HIYO PICHA YA ALIYEMPIGA MWINYI KWELI ANATAKA SIFA. TEKE KAMA JET LI

    ReplyDelete
  2. KAMA TUKITAKA HALI YA HAKI IWE NZURI HAPA BONGO BASI INABIDI TUCHAGUE UONGOZI MWINGINE, NIKIMAANISHA CHAMA KINGINE KITAWALE NA SIYO CCM. katiba inadidi ibadilishe kwani iliyokuwapo kwa sasa inabezi sana kuwalinda viongozi na siyo walalahoi sisi.
    HAKUNA KIONGOZI ALIYEWAHI KUFUNGWA JERA HAPA BONGO NA SIDHANI KAMA ITATOKEA. NI NDOTO,

    ReplyDelete
  3. HAWA JAMAA WANATUNYANYASA SANA ILA WATA KIONA CHA MTEMA KUNI SOOON VIJANA TUTASHIKA NCHI KWA DEMOCRASIA AU KWA MAPINDUZI HAUNA ANAYE KUBALI KUTEASWA KAMA WANAVYO TUTESA DITOPILE WAMEMUACHA WENGINE NAO WANAAACHA SERIKALI YETU BWANA!!!!!!! YA KIUSHKAJI SANA ILA KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO,HAKUNA MALEFU YACYO KUWA NA NCHA

    ReplyDelete
  4. yaani hali hii ikiendelea hivi ya kuoneana kijingajinga kama hivi basi watu nadhani wanaweza kuchinjana kama kuku nawaambia ndug zangu

    ReplyDelete
  5. i hate serikali ya CCM

    ReplyDelete
  6. UFISAAAAAAAAAAAAAAADI NI SUMU YA MAENDELEO.

    ReplyDelete
  7. KWA NINI WENGINE(WALALAHOI) WAFUNGWE KWA HARAKA NA WAKATI VIONGOZI(MAFISADI) KESI ZAO ZINASOGEZWA MBELE?

    ReplyDelete
  8. tusubiri hiyo tarehe 30 April tuone kama atashitakiwa watatuambia kaonya au kapewa kifungo cha nje.

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.