NDugu zangu wadau kusema ni jadi yetu japokuwa haki huwa haitendeki ipaswavyo. KUSEMA NI HAKI YA KILA MTU (FREEDOM OF SPEECH) japokuwa tu hali hii ya kuongea ifuate misingi ya haki za binadamu na Mipaka ya kisheria.
"SEMA USIOGOPE" ndiyo kauli mbiu bila kujari tabaka la watu
Ndugu zangu naomba nitume mada hii kwenu ili tuweze kujadiliana kidogo na tujaribu kupata mwafaka kama itawezekana. Je Mh. JK anawafahamu viongozi mafisadi? na kama anawafahamu kwa nini asiwachukulie hatua za kisheria?
je na yeye yupo kwenye BIASHARA hii ambayo haina mtaji?
whats going on wadau?
whats going on wadau?
Wabongo tunayeyushwa tu na awa mafara wanao tuongowa
ReplyDeleteNIMEFURAHI SANA NDUGU WATANZANIA KWA KUZIJA HAKI ZENU. ILA SUALA AMBALO NALIFIKIRIA HAPA NI KWAMBA TUNAHITAJI BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA VIBADILISHWE ILI KUWEPO NA HAKI NA USAWA KWA MATABAKA YOTE. LAKINI JE NI NANI ATAKAYEBADIRISHA?
ReplyDeleteJIBU LAKE NI- SISI WENYEWE NDIYO TUTAKAYEBADILISHA SHERIA KWA KUMCHAGUA KIONGOZI MWENYE MSAADA KWETU.
SISEMI MUMPIGIE KURA KIONGOZI FULANI LAKINI NINGEPENDA KUONA CCM IKIPUMZIKA KIDOGO KUTOKA MADARAKANI ILI TUONE KAMA MABADILIKO YA UTAWALA YATACHANGIA KATIKA KUTUINUA SISI WANYONGE.
ASANTENI JAMANI.
NYErere alisha wahi kusema "HAKUNA UHURU WA KWELI KAMA NCHI ZITAENDELEA KUTENDANA"
ReplyDeletemsemo huu una herufi chache lakini ukiutathmini kiundani utaona una maana kubwa sana tu.
hii ni sawa na kusema "HAKUNA HAKI YA KWELI KAMA WANANCHI TUTAENDELEA KUKAA BILA YA USHIRIKIANO"
ningependa kila mtu achukuwe nafasi yake kama MWANAJAMII MWENYE HAKI kuzungumza bila ya kuogopa ili hali ya USAWA iwepo baina ya classes(matabaka).
NI KWELI SHERIA INABIDI IBADILISHWE NA WAAMUZI WA SUALA KAMA HILI NI SISI WENYEWE NA SIYO MTU MWINGINE KUTOKA NJE.
NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WADAU WENZANGU.
Mtachonga sana humu lakini mkae mkijua ya kwamba MASKINI HANA HAKI hii ni sawa na msemo usemao "MAHITI HAINA SHERIA"
ReplyDeleteBY ZE Mdau wa MBEYA.
wewe Anony wa 06:11 kweli ni limbukeni na ,mbabaikaji wa viongozi angalia wasije wakakugeuza. kuwa mkakamavu bwana katika kutetea haki yako.
ReplyDeleteMIMI NASEMA IVI JAMANI ITAKUJA SIKU DAMU NCHINI KWETU ITAMWAGIKA NA AKIPATIKANA NKUNDA MMOJA2 MAFISADI MTAKOMA NYIE NGOJENI2 WANAJUANA WENYEWE HAWA ILA MI NASEMA KIZAZI CHA SASAIVI KINA TISHA TOFAUTI NA KIZAZI CHA NYUMA WENGI MLIKUWA MNAPELEKWA PELEKWA2 ILA VIJANA WA SASA WANAJUA NINI KINA TENDEKA ILA MI NASEMA SUBILI2.....INACHOENDA KUTOKEA HUKO MBELE NI KUGAWANA2 AU WATU WATAIMGIA MCTUNI....WATU WAMECHOKA KILA CKU PESA MLE NYIE2
ReplyDeletelisten people, There is only one decision, or it will cost your life. we better wake up and choose someone who will suit us and secure us from EMBEZZLEMENT. HOPE WE CAN, (YES WE CAN)
ReplyDeleteAnony wa 07:36 KWELI UNACHOKIONGEA NI KWELI. ONA JINSI WATOTO WETU WANAVYOKAA CHINI MASHULENI KISA HAKUNA MADAWATI, HII INAINGIA AKILINI JAMANI?
ReplyDeletePESA ZINAENDA KWA WATU NA WANAJULIKANA, YAANI NI UPUUZI MTUPU.
KWELI TUNAHITAJI MABADILIKO WATANZANIA TUUNGANE ILI HAKI ITENDEKE.
TUtaFUtE waWekezaji Wa njE waweKeze kAtika maHakAMa
ReplyDeletekitukingine jamani hii ccm c tumeichka maana sela zake zina fanana na katiba kwahiyo hawa wanalindana tu,ila kinachotakiwa vijana na wazee wenye uchungu na nchi tuunganne minasema nyere angekuwepo hawa wapumbavu wacnge fanya upumbavu ila dawa yao ipo jikoni kuna mafisadi wengine hawajajulikana ila wapo na wanafichwa na kikwete huyo huyo wakifanya maufisadi anawapa ubalozi akimbilie nje yanchi hii nayo inachangia
ReplyDeleteJAMANI KUNA MAFISADI FULANI WAPO HUKU UGHAIBUNI WANA TUNYANYASA SANA WANA TUMIA MADALAKA YAO KUTUNYANYASA NA KAMA WAO NDO WAMESHIKA SERIKALI INATUUMA SANA JAMANI KWANINI KIKWETE UNAWAACHA HAWA? KWANINI LAKINI? UNAMACHUNGU KWELI NA NCHI YAKO? KIKWETE UNA MACHUNGU NA WANA NCHI WAKO KWELI? INAFIKIA HATUA HAWA MAFISADI WANAJIONA KAMA MIUNGU NDUGU ZE UCHUNGU NAOMBA HAWA MAFISADI WA HUKU WAEEKEZWE MAHALI HUCIKA WAMEKULA SANA MALI ZA SERIKALI WAPO URUSI NI U BALOZI WA URUSI NI TUPO HUKU TUNATESEKA JAMANI NA HUU UFISADI WA HUKU HATUNA RAHA
ReplyDeletetumeni picha na maelezo ya hao mafisadi wa ubalozi wa Urusi ili watolewe kwenye blog hii, kwani lengo lake ni kulekebisha tabia. email. zeuchungu@hotmail.co.uk
ReplyDeleteKUNA MSEMO WENZETU WA UGHAIBUNI, yaani wazungu wanasema "A dog should never bites its owner even if it’s mad" hii ikiwa na maana kwa kiswahili ya kwamba "Mbwa hawezi kumng'ata mmiliki wake hata kama ni kichaa"
ReplyDeleteHApa ndugu wadau naomba niweke swala hili wazi ya kwamba kuna misemo mingine imeshapitwa na wakati kama vile "Aliyeko juu mngojee chini"
tukirudi kwenye msemo huu wa mbwa nilikuwa namaanisha ya kwamba kuna watu wengi ambao kwa kweli wanao uwezo wa kusema mbele ya jamii(kufichua maovu) lkn hawafanyi hivyo wakiofia hali ya usalama wao. na hii inatokana na hali ya kisheri kutokuwa na usawa.
sina mengi ya kusema kwa sasa ila ningependa sisi WALALAHOI ambao ndio waathirika wakubwa tuungane kwa pamoja ili tuweze kukomesha hivi vitendo.
While powerless people suffer, those with power grow fat. this iz true
ReplyDeleteNature’s secrets cannot be revealed. but i believe we can only if we organize.
ReplyDeleteWen the enemy is over confidence, we must double our concentration. nina uhakika hawa CCM hawapiti mwaka 2010, JK ALIKUWA NA WAFUASI KIBAO LKN AMEWASARITI NA KWA SASA HAWANA IMANI NAYE TENA. NI MSANII JAMAA HUYU.
ReplyDeleteGUYS HAWA VIONGOZI NAONA WANATUZINGUA, NA TULIO WENGI WETU HATULIJUI HILI, BUT How do u expect me to teach u anything and u don even know the basics. UKWELI NI KWAMBA AKILI ZETU ZIMESHACHANGANYWA NA UONGO WA HAWA WATU and we all ROTTEN. LAZIMA TUAMKE GUYS
ReplyDeleteKama Kawaida jina langu BALOZI WA UK.....Sasa mkuu mada hii ni nzuri....Ukweli ni kwamba anafanya kazi ipasavyo lkn kiuoga/ with fear,I suppose he is afraid of smthng....kwa nini nasema hivi ni kwamba anawajua wezi/mafisadi vyema na jamii inawajua....hatua ya mwizi ni jera kwanza then the rest comes afterwards...ni kama mwizi wa kuku...akishikwa anawekwa jera then kesi inaanzwa kuchunguzwa!!!!Sasa iweje hawa mafisadi wasio na aibu kwanza washazeeka maisha ya si marefu ya vile lkn wameiba ni kama wataishi duniani forever...Mimi kama mkereketwa ningeshauru asiogope ushirikina ama ukubwa ktk masilahi ya jamii...maana ameamua kutetea haki ya jamii ya Tanzania sasa iweje awalembe wezi????Mzee naomba uwatie kibindoni hao mafisadi na mali zao zichukuliwe kama hawana maelezo kamili...wakichukua lawyer nao watie ndani wezi tu!!!Inauma saaaaaaaaaaanaaaa!!!Acha nisiongee sana maana sitamailiza. Ahsante......kama kawa unaweza kunirusha tu kama unajisikia....Once again thnks and congrats 4 da gud wak on here.
ReplyDeletehawa mafisadi wahuku ubalozi wa rusi wana tunyanyasa jamani picha zao tuna fanya mikakati ya kuzipata ila mmoja anaitwa mbaluku na mwingine kajogoo na huyo rafiki yake kikwete pia jaka mwabi wanatumia madaraka vibaya kikwete upo wapi mbona atujajua unawachukulia hatua gani hawa watu kwanza serikali imeingia mkataba feki na nchi ya urusi katika kupeleka wanafunzi yaani ni ufisadi mtupu huku jamani tnaomba rais kikwete uangalie hili swala tukionge tuna fukuzwa na kufutiwa udhamini kama wenzetu waliorudishwa nyumbani kwa kweli walisimama kidete kutetea haki nna kutuelezea hawa mafisadi walivyokuwa wanakula hela karibuni milioni mia moja ila sisi tulio baki tukiongea tutafutiwa udhamini hiii ni haki kweli jamani? tunadhurumiwa,tunanyanyaswa na hata ukiongea unafukuzwa nakuludishwa nyumbani kama wenzetu kwa kweli inasikitisha,tanzania wapi tuna kwenda ila na shukulu zeuchungu najua tunafikisha ujumbe ata wakitufukuza poaa tuuuu ila ubalozi wa urusi ni ubalozi ambao unaongoza kwa ubadhilifu wa mali za serikali ata serikali yeyewe inatambua lakini cha ajabu hakuna hatua zilizo chukuliwa yaani nikulindana2 na undugu laization kwa kweli sisi wanafunzi aurusi tunapata tabu sana yaani paka sasa ubalozi eti hauna mawaciliano na wanafunzi kisa2 ni ufisadi
ReplyDeleteMIMI NINGEOMBA ULE WIMBO WETU WA TAIFA UBADILISHWE ule unaosema "TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE..." KWA kuwa hauendani kabisa na hali halisi ilivyo hivi sasa. NINA UHAKIKA KABISA MH. JK ANAWAJUA MAFISADI WOTE ILA TU LABDA ANAHOFIA USALAMA WAKE NA HII NI KWA SABABU HASHIRIKIANI NA RAIA NDIYO MAANA HALI BADO INAKUWA NGUMU. HASHIRIKIANI NA RAIA KWA KUWA NA YEYE MWENYEWE YUPO HUMO KTK KUNDI HILO LA MAFISADI SUGU..
ReplyDeleteTANZANIA TUAMKENI JAMANI.
Big up watoa comment i like to hear TRUTH N ITS WAT U TRYIN TO SPEAK IT OUT. WEL DONE MAZEE
ReplyDeleteTANZANIA HATUNA RAIS NDUGU zANGU bali TUNA DJ WA MUZIKI TU NA MCHEZA FUTUHI NA THE COMEDY.hatuna RAIS wa kumTEGEMEA 2010.WASILIANENI NA AMNESTY INTERNATIONAL AU UNITED NATION tusaidiwe labda . lol. LAKINI MKITEGEMEA SEREKALI YA KIKWETE SIO LEO WALA KESHO YEYE ANAWAZA KUWEKEZA TU APATE COMMISSION HUKU WATANZANIA WAKILA UGALI NA CHUMVI TENA KWA KUBAHATISHA
ReplyDeleteKWELI WAKUUU RAISI AKIJALIBU KUSHIRIKIANA NA RAIA ANGEPATA MANBO MENGI SANA UJUE KUNAWATU WANAJUA NINI KINATENDEKA LAKINI AKISEMA KAZI HANA AU JELA YEYE!!!!!! CJUI HII NCHI TUNAPOKWENDA WAPI IPO SIKU LAKINI WATU WATASHNDWA KUVUMILIA KIKWETE KUWA MAKINI MUHESHIMIWA NA UCHAGUZI WA2010 PACIJE PAKAWA KAMA KENYAAAA JAMANI TUAMKENI WAKATI NDO HUUU
ReplyDeletemimi naona hawa ccm wametuchoka na hawataki tena kula zetu mwaka 2010
ReplyDeleteCCM OYEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteNyie mnaosema CCM oyee, naombeni msituletee siasa za kipumbavu, anzisheni mijadala yenu sehemu nyingine, hapa sio mahala pake. Nashukuru huyu aliyeanzisha huu mjadala, ni mambo yayaoumiza kichwa mwananchi wa kawaida kila siku.
ReplyDeleteCCM haikupewa nchi ili ivurunde kama ilivyofanya, kuna vyama vingi tarari hakuna kurudi nyuma, hata Nyerere alishaona wataingia madarakani tu, it's inevitable. Nyie mnaoshadadia CCM kwa sababu zenu binafsi ambazo tunaweza kuzifikiria tu.
Manedeleo tunayakwamisha wenyewe, tunapenda kuona wenzetu wanateseka au ni nini lakini? We kima cha chini ni hivyo vi laki 1 au 2, hapo hapo mtu anakuwa na bilioni za wizi kwenye akaunti, kuna usawa hapo? Acheni upumbavu nyie mnaotetea ujinga, mwizi ni mwizi tu hata kama ametoka chama cha upinzani au CCM. Muwe na misimamo na muelekeo mizuri, badilikeni la sivyo nchi utaishia pabaya.
JK inabidi aongeze kasi au hataki kuwashughulikia marafiki zake? Angalieni kwa karibu zaidi jinsi anavyofanya kazi hapa, maana inatia wasiwasi kwa sisi tulio mbali kuona kinachofanyika, nani anayewajibishwa? Nani ni mkubwa au msimamizi wa kazi? Madaraka amekabidhiwa nani lakini? JK au Rostam? Hawa watu waliomzunguka JK hawafai kupiga kiasi, labda wanamziba macho asione mauchafu, maana angekuwa mtu anayesema anajali watu angeshawafukuza kasi wengi, lakini mpaka sasa naona wanaleana. Naona msaidie hii maada kuijadili zaidi,nawatakia usiku mwema.
ccm haina kitu kabisa na kilichobakia sasa ni sisi watanzania kuungana na kuwa kitu kimoja bila kuangalia matabaka yetu, ya elimu, dini, ukabila na uwezo wa kifedha.
ReplyDeleteTunaweza kuchagua chama kingine ili tuone mabadiliko kama kweli yatatokea.
KILA KUKICHA VIONGOZI WA SERIKALI YA CCM WANASHINDANA KUIBA PESA ZA UMMA NA KUNUNUA MAGARI NA MAJUMBA YA KIFAHARI. WAKATI SISI WANYONGE TUNABAKI KUNG'AA MACHO TUSIJUE LA KUFANYA. KWA KWELI NDUGU ZANGU CCM INATUMIA NGUVU KUTUTAWALA NA SIYO DEMOCRASIA. BABA WA TAIFA ANGEKUWAPO BASI SIDHANI KAMA NENO UFISADI LINGEKUWAPO SI MNAKUMBUKA ALIPOKUWA AMEMKOMALIA HUYU FISADI LOWASA ASIPEWE UONGOZI WOWOTE WA JUU KWA KUWA ALIMJUA NI MWIZI MKUBWA. NA NDICHO KILICHOTOKEA AKATUFILISI.
ReplyDeleteKIKWETE NDIYE FISADI MKUBWA HAPA BONGO KILA KUKICHA YEYE NI KUSAFIRI YAANI SAFARI HAZIISHI. ANA MATUMIZI MAKUBWA MNO YA PESA ZA UMMA. NA NINGEOMBA WATU WAACHE KUMTUKUZA KWANI HANA MSAADA WOWOTE KWETU.
ReplyDelete25BIL!!!???TANZANIA TUMEISHA,TUMEISHAAAAAAA
ReplyDeletewee anony 09 April 2009 14:40...tulia
ReplyDeleteanony wa 09 april 2009 14:40 naona yuko sahihi wala hajakosea kabisa.
ReplyDeleteccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee! chadema woooooooooooo utumbo mtupu.
ReplyDeletekama ufisadi ni hali nzima ya ubadhilifu wa fedha ya umma basi kikwete ndiye namba wani kwa utumiaji mbaya wa pesa ya serikali kwani huwa hakosi kutoka nje ya nchi kila wiki na anatumia mamilioni ya shilingi tu kwa safari moja. pesa ambazo zingesaidia kutoa huduma za kishule na hospitali
ReplyDelete