jAka Mwabi anahusika na mateso wanayoyapata wanafunzi wetu wa huko URUSI. je yeye mwenyewe amechukua hatua gani katika kuwasaidia? au naye ndiyo walewale tu.
Friday, 17 April 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
While powerless people suffer, those with power grow fat.(Wakati wanyonge wanateseka, wale wenye nguvu(vigogo)wananenepeana.
kwani huyu yeye ndiye aliyewapeleka hao wanafunzi huko urusi mbona watanzania hamwishi la kusema. mnachonga saaaaana
ReplyDeleteacha kutetea ujinga wewe huyu bado anatakiwa kusimama kama muhusika wa matukio yote.
ReplyDeletekwani wanateseka vipi hao wanafunzi?????????
ReplyDeletendiy hapo sasa mimi mwenyewe nashindwa kuelewa kama hawali au hawana pa kulala maanaake kila kukicha wanalalamika tu wanateseka lakini wawaelezei wanateseka vp. kuweni REALISTIC n SPECIFIC
ReplyDeleteKAMA NINYI WANAFUNZI MNAOLALAMIKA YA KUWA MNATESEKA MNASHINDWA KUJIELEZA HAPA MNATESEKA VIP JE MTAWEZA KUSOMA KWELI
ReplyDeletejaka ni mwanamume wa shoka hawezi kusumbuliwa na ujinga kama huu
ReplyDeleteJana nilikuwa najaribu kutuma maoni lakini nilishindwa kwani nadhani mitambo ilikuwa 'down', kweli kuna tatiza hapa, na ni kwamba hawa wanafunzi hawajui kujieleza, mnakuwa kama watoto, punguzeni jazba, elezeni vitu kwa mpangilio kidogo, mpende msipende msaada bado mtauhitaji tu, toka kwa huyu au mwigine yeyote.
ReplyDeleteHuyu jamaa kaanza kazi lini kwani? Mlishampelekea malalamiko? Mara ngapi? Mliandika barua? Mlimtafuta na msaidizi wa balozi? Na msaada mnaotaka ni wa aina gani haswa? Tusitoe lawama kabla ya kufanya utafiti, mnataka atatue matatizo yenu yote au?
Hawa viongozi wanaofanya kazi ubalozini waache vitisho pia kuwaambia watu wafuate sheria za nchi walizopo, wanafikiri watu hawajui wanachofanya kwenye nchi hizo au? Mara ngapi wananchi wa nchi nyingine wanasaidiwa ndani ya nchi yetu hata kama makosa yao ni makubwa kupita kiasi? Nani aliwadai vibali walipokuja miaka ya nyuma kuwanyanyasa mababu na mabibi zetu? Nani aliwazua kuiba mali walizoziiba (na wanazoendelea kuiba)? Wanataka wao wafunguliwe milango wanapotaka kwenda, wengine wakitaka kuingia kwao, kelele nyingi.
Anzisheni vyama au jumuiya ya watanzania (Sio jumuiya ya vyama vya siasa) huko ughaibuni, hii tabia iliyoingia ya kuanzisha vyama vya siasa nje ya nchi, ni tabia chafu, wala hazisaidii lolote isipokuwa kuwagawa watanzania walio tayari nje, unganeni muwe wamoja, huyu mzee kama atashindwa kuwasaidia andikeni barua kwa msaidizi wake (balozi mdogo), mpeni muda, hakuna msaada andikeni barua kwa Philemon Luhanjo, na nyingine kwa JK, ni jambo la aibu kwa rais kusikia kuwa wananchi wake wamekosa msaada kutoka kwa watu aliyewaweka, kama kweli anawajali.
Watu wa ubalozini wasitupigie kelele bila ya sisi wasingekuwepo kwenye hizo balozi, waache kunenepeana bila ya kufanya kazi, na hawa wanafunzi wenye kuonewa huko Urusi wajipange vizuri kueleza shida zinazowakumba, najua watakuwa wanasumbuliwa, maisha huko sio mazuri, lakini wajitahidi wamalize kilichowapeleka huko, nawatakia jioni njema.
JAMANI MBONA MAMBO YAKO TU-COMPLIKETEDI samahani sijui kuandika neno hili kwa kiingereza LAKINI MIMI NAONA LAZIMA KUWE NA CHANZO AMBACHO KILIFANYA WANAFUNZI HAWA WARUDISHWE NYUMBANI SIYO BULE. ILA BADO NINGEPENDA KUSEMA KAMA MZAZI HAWA WANAFUNZI HATA KAMA WALIKOSA BASI KUWARUDISHA NYUMBANI NI KUWAPOTEZEA CHANEL ZAO ZA MAISHA NA NI KITENDO CHA KUWAKOMOA INFACTI. NAOMBA HATA SERIKALI IINGILIE SUALA HILI KWANI NAONA LIMEJENGEKA KTK PICHA YENYE UTATA NDANI YAKE.
ReplyDeleteJE NI NINI HASA KINACHOSABABISHA HILI SUALA? TUNAOMBA MTUAMBIE MANAAKE SISI HUKU HATUJUI LINALOENDELEA HUKO. PLZ
nadhani hawa wanafuzi wana haki zao za msingi. ninachowashauri ni kwamba kuna haki nyingi tu za kibinadamu na mashirika duniani kote. mimi naomba waandamane bila kuchagua viongozi au wawakilishi. wote waende kwa pamoja UBALOZINI na tuone kama watawaludisha nyumbani tz. kiukweli ni kwamba hawatawarudisha wote na suala lenu litaisha hata wananchi waliokuwapo huku bongo watawaunga mkono kama watawaona kwenye vyombo vya habari.
ReplyDeletepoleni sana.
MWAMBI HUYU NDIYE YULE CAPTAIN?
ReplyDeleteMie hata siwaelewi!! Wanafunzi wenyewe wasiriiiiii hawataki kuayaanika hadharani madai yao!! Acheni ujinga!! Hadi naaanza kufikiri huenda mmenyimwa udhamini kwa uhalali kabisa!!!
ReplyDeleteInaonekana hawa the so called wanafunzi hawajui hata wanachokitaka au kudai maana hadi sasa wameshindwa kujieleza wanachokitaka. Hisia zangu ni kwamba kunajengeka tabia ya kutaka nao wagawane umaskini wao na maafisa wa ubalozi, wakumbuke kwamba kila mmoja kaenda huko kwa mkataba wake na ndio utakaomuweka huko na si vinginevyo, kama ulichupa tu ili uende majuu basi shipa umelitafuta mwenyewe huko urusi si mahali kwa kusoma siku hizi, maisha ni bomu ajabu! Rudi bongo tu mtu wangua ucheki pengine kipaji cha kuimba bongo flava au kunengua twanga pepeta unacho, njoo ujichanganye hata udereva wa bajaji utapata kuliko kuteseka huko mbali na kwetu
ReplyDelete