Thursday, 9 April 2009

WheN GrEEN tUrnS 2 RED





Samahani mzee "zeuchungu"najua tunakusumbua kwa kukutumia picha na habari nyingi kuhusu hawa viongozi wetu lakini ni ktk kulijenga taifa letu. nDugu zangu mimi ni mgeni kidogo kuhusu siasa lakini ninaweza ku-ditect mabadiliko yoyote kama yanatokea. labda ningependa kujua WHAT IZ POLITICS? DOES IT EXIST IN OUR COUNTRY TANZANIA?
Tuje sasa kwenye mjadara mziwa wa maswali yangu haya.
-Tukianzia na picha juu hapo tunamwona Bw. B. W. MKAPA enzi zake akiwa amevalia vazi la ccm. HUyu raisi wetu mara tu alipotoka madarakani na kuwa na kashfa nyingi za UBADHILIFU WA FEDHA(EMBEZZLEMENT-misuse of goverment fund) ametoweka kabisa katika anga za siasa.
-Picha ya pili inamwonyesha Mh. E. Lowasa(shoto) naye huyu alikuwa waziri wetu mkuu kwenye serikali yetu ya awamu ya nne lakini kilichotokea ni kwamba mara tu baada ya kupatwa na kashfa ya RICHMOND (Ufisadi) basi akatoweka NA nguvu yake kisiasa ikawa kwishey.
-Picha ya tatu inamwonesha aliyekuwa Mh. F. Sumaye ambaye naye ndiyo walewale(Mafisadi) ambaye naye mara tuu baada ya kuuachia u-waziri mkuu basi akapotea kabisa.
JAmani naomba nisieleweke vibaya katika suala hili, ila ni vizuri kuambiana ukweli kama mtu anakosea. Je tunawafundisha nini vijana wetu ambao wanataka kujiunga na siasa? iz that kwamba na wao wajinufaishe kwa kuuibia UMMA mapesa mengi na kukimbilia porini kama walivyofanya hawa? kitu ambacho kitawaacha mamilioni ya watu kukosa huduma za jamii manaake sielewi kabisa kama siasa ya TANZANIA NI HAI.
AU SIASA YA BONGO NI KWAMBA MTU ANAKUWA MWANASIASA PALE ANAPOTAKA UONGOZI HALAFU UONGOZI UKIISHA NA BAADA YA KUFIRISI TAIFA BASI NAYE ANASAMBARATIKA?
SAVE OUR COUNTRY FOR OUR FUTURE LIFE.
Mdau kutoka ZANZIBAR
BABU J.


19 comments:

  1. CCM OYEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  2. HII YOTE NI LISTI YA MAJAMBAZI SUGU WALIOSHINDIKANA

    ReplyDelete
  3. There is one DECISION u guys or it will cost all your life, HONESTLY, u hav to return all u have steal from UMMA. kabla damu haijamwagika au hamjayasikia ya BLASIL jinsi ma-gang members walivyokuwa wanawaua kiongozi mmoja baada ya mwingine waliokuwa mafisadi na kunyanyasa wananchi. uBETTER BE GOOD or U WILL HAV TO STAY AND WATCH.

    ReplyDelete
  4. Yani hawa watu sipendi kuziona hata PICHURE zao

    ReplyDelete
  5. WATANZANIA SISI NI WASENGEE TU.WEZI TUNAO TUNAWATUKUZA

    ReplyDelete
  6. Anony wa 11:52 unachokisema ni kweli kabisa mimi nakuunga mkono kwa hilo.

    ReplyDelete
  7. MZEE zeuchugu naona hii namba hapo juu imetulia.

    ReplyDelete
  8. amakweli hii ni kali yaani watu wamewapania hawa mafala kumamaezao.

    ReplyDelete
  9. NYAMBAFU HAWA KAMATA WOTE TUPA JELA TUMECHOKA SASA

    ReplyDelete
  10. kuna nikiulizwa ni chma gani nakichukia kuliko vyote hapa duniani ni ccm yaani ni upuuzi mtupu kujiunga na chama hicho

    ReplyDelete
  11. TUTOLEE AO WATU TUMEWACHOKA EE

    ReplyDelete
  12. NDIO NYINYI MNAOFIKILIA KUA ISSAMICHUZI RAIS ONA SASA WIKI NZIMA UBADILISHI,AO UMEKUFA TUAMBIE TUU

    ReplyDelete
  13. kuma mae zenu mafisadi!!

    ReplyDelete
  14. ufisadi ndiyo nguzo ya maendeleo ccm. ccm bila ufisadi ni sawa na mwanaume bila UUME. sana tuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  15. CMB'Z CASH MONEY BROTHERS,

    ReplyDelete
  16. yani mnatukana bila mazao..funga macho ziba masikio.tafuta vyako ishi kivyako..yo mnatukanaa...CCM HOYEEEEE,NA JK TUNAYE TENA UCHAGUZI UJAO...

    ReplyDelete
  17. kweli anony wa 2307 ni mpuuzi kweli nyie ndio mnaolewaga na vigogo kwa kuwababaikia na kama hali ni hiyo basi tutafia kweli?

    ReplyDelete
  18. du kazi hipohapa naona vijana mna hasira kinoma ila big up wazee kwani mnaonesha ni jinsi gani mmewachoka hawa mafisadi

    ReplyDelete
  19. THIS IZ BIG CREW YA KESHI MANE BRAZAZ yaani hawa ni matajiri ile mbaya na sumaye amesha maliza masomo yake London na anarudi bongo tena kuja kufirisi nchi. wajinga ndiyo waliwao.hahahahahahahahahahha

    ReplyDelete

SEMA USIOGOPE, JAMII INAKULINDA.