NDUGU YANGU WA ZEUCHUNGU NAJUA BLOG HII IPO KWA AJIRI YA KUTETEA HAKI ZA WANYONGE TOFAUTI NA BAADHI YA BLOG NYINGINE NYINGI TU NA KWA HILO NAISIFU.
MIMI NI MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI HAPA URUSI NA NINATUMA TAARIFA HII KWAKO ILI TAIFA LIONE JINSI SISI TUSIVYOTHAMINIWA NA UBALOZI WETU WA HUKU.
MALALAMIKO YETU YANAZIHUSU, UBALOZI WETU WA HUKU, BODI YA MIKOPO NA SERIKALI KWA UJUMLA.
TAARIFA KWA UMMA·
Sisi wanafunzi Tungependa bodi ya Mikopo hapa nchini ieleze wazi kwa umma fedha ambazo imeshapeleka mpaka sasa na fedha ambazo iliwajibika kuzipeleka ikiwemo kutaja majina ya wanafunzi waliostahili kupokea fedha hizo. Na ifanye utaratibu wa kupeleka fedha zilizobaki haraka iwezekanavyo ili kuokoa hatma ya vijana hawa.· Nalaani vitendo vya unyanyasaji na uvunjaji wa haki za binadamu waliofanyiwa vijana hawa nchini Urusi vikihamasishwa, kushuhudiwa na kushabikiwa na maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Urusi. Tunamtaka Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Jaka Mwambi atoe kauli ya haraka kueleza kadhia hiyo. Bwana Mwambi yuko nchini Urusi kwa gharama za kodi ya watanzania wote bila kujali itikadi kwa lengo la kutumikia umma na kuwakilisha maslahi ya watanzania nchini humo.
MIMI NI MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI HAPA URUSI NA NINATUMA TAARIFA HII KWAKO ILI TAIFA LIONE JINSI SISI TUSIVYOTHAMINIWA NA UBALOZI WETU WA HUKU.
MALALAMIKO YETU YANAZIHUSU, UBALOZI WETU WA HUKU, BODI YA MIKOPO NA SERIKALI KWA UJUMLA.
TAARIFA KWA UMMA·
Sisi wanafunzi Tungependa bodi ya Mikopo hapa nchini ieleze wazi kwa umma fedha ambazo imeshapeleka mpaka sasa na fedha ambazo iliwajibika kuzipeleka ikiwemo kutaja majina ya wanafunzi waliostahili kupokea fedha hizo. Na ifanye utaratibu wa kupeleka fedha zilizobaki haraka iwezekanavyo ili kuokoa hatma ya vijana hawa.· Nalaani vitendo vya unyanyasaji na uvunjaji wa haki za binadamu waliofanyiwa vijana hawa nchini Urusi vikihamasishwa, kushuhudiwa na kushabikiwa na maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Urusi. Tunamtaka Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Jaka Mwambi atoe kauli ya haraka kueleza kadhia hiyo. Bwana Mwambi yuko nchini Urusi kwa gharama za kodi ya watanzania wote bila kujali itikadi kwa lengo la kutumikia umma na kuwakilisha maslahi ya watanzania nchini humo.
Tulitarajia awe balozi mzuri wa kuhakikisha vijana hawa wanasikilizwa na kusaidiwa baadala ya kunyanyaswa na mateso yasiyojulikana mwisho wake. Tunaomba Balozi JAKA MWAMBI Awajibishwe ili haki itendeke. Serikali ichukue hatua za kinidhamu kwa maofisa watakaobainika kusababisha hali hii.· Kwa kuwa vitendo kama hivi vimekuwa vikijitokeza mara kwa mara(rejea tatizo la wanafunzi wa kitanzania waliokwama nchini Ukraine); ni wazi kwamba kuna tatizo la kimfumo ambao serikali ya CCM imeshindwa kulipatia ufumbuzi wa kudumu. Pia pamekuwepo na tuhuma za ufisadi katika mchakato wa malipo ya wanafunzi wa kitanzania wanaosoma nje ya nchi.
KATIKA SUALA LA UFISADI NA MANYANYASO KWA WANAFUNZI KUNA MAJINA YA WATU HAWA TUNAOMBA YASHUGHULIKIWE MAPEMA IKIWEZEKANA LA SIVYO WATU WATATOANA ROHO HUKU.
MAJINA HAYO NI:-
1. JAKA MWAMBI(Balozi)
2.KAJOGOO
3.MBALUKU
KATIKA SUALA LA UFISADI NA MANYANYASO KWA WANAFUNZI KUNA MAJINA YA WATU HAWA TUNAOMBA YASHUGHULIKIWE MAPEMA IKIWEZEKANA LA SIVYO WATU WATATOANA ROHO HUKU.
MAJINA HAYO NI:-
1. JAKA MWAMBI(Balozi)
2.KAJOGOO
3.MBALUKU
TUTAJISIKIA FARAJA SANA KAMA KILIO CHETU KITASIKILIZWA. NDUGU ZETU WATANZANIA KWA UJUMLA TUNAOMBA MTUSIKIE NA KILIO CHETU KWANI TUNAJUA NA NINYI MNA MCHANGO MKUBWA MTAKAOUTOA HAPA.
ASANTENI.
SERIKALI ONENI AIBU MNATEGEMEA VIJANA HAO WATAMUDU VIPI MASOMO YAO HUKU MKIJUA URUSSI HATA KAZI YA KUOSHA SAHANI HAIPATIKANI ?
ReplyDeleteMMEKUA MKISOMESHA WATOTO WENU UK NA US HUKU MKIWAPELEKA WATOTO WA WALALA HOI NCHI ZENYE SHIDA BILA HUDUMA. RAIS KIKWETE ARI,NGUVU NA KASI IMEKUA KUBWA NA MAISHA BORA KWA KILA MTZ NI NDOTO ZA ABUNUWASI BASI HATA HAWA WANAFUNZI MNAWAPIGA DANA DANA ?
INATIA UCHUNGU KUONA KIKUNDI KIDOGO CHA MAFISADI KINAPETA HUKU MAMILONI YA WANANCHI WAKITESEKA TUNASUBIRI USANII WENU 2010 KWANI NI MAHODARI WA KURUBUNI WATU.
TANZANIA HATUNA RAIS NDUGU zANGU bali TUNA DJ WA MUZIKI TU NA MCHEZA FUTUHI NA THE COMEDY.hatuna RAIS wa kumTEGEMEA 2010.WASILIANENI NA AMNESTY INTERNATIONAL AU UNITED NATION tusaidiwe labda . lol. LAKINI MKITEGEMEA SEREKALI YA KIKWETE SIO LEO WALA KESHO YEYE ANAWAZA KUWEKEZA TU APATE COMMISSION HUKU WATANZANIA WAKILA UGALI NA CHUMVI TENA KWA KUBAHATISHA
ReplyDeletekama ni kweli hawa vijana wetu wanateseka tunatarajia kujenga taifa linalo fanana na nini tena? au mnataka wawe wezi wa mitaani?
ReplyDeletekwani nyie VIONGOZI MAFISADI mlinyanyaswa na kina nani mpaka mnataka kulipiza kisasi kwa wengine WASIO NA HATIA?
ReplyDeleteCCM WAPUUZI SANA. INABIDI TUCHAGUE CHAMA KINGINE NDUGU WADAU.
ReplyDeletekama hali yenyewwe wanayonayo watoto wetu ndiyo hii basi lazima tutafutane.
ReplyDeleteWatakumbuka shida za mtoto wa mkulima wakati wao hawajui hata kama kuna shida? wanaiandaa Mitoto yao kurithi ufisadi wa wazazi wao.
ReplyDeleteNyie Mlioko URUSI si mrudi zenu bongo,kihelehele chenu cha kupanda ndege kwenda N'gambo ndio kimewaponza,kwani huku bongo hakuna vyuo? Kwanza naamini huko asilimai 98% mkirudi bongo mnarudi walevi tena wale wa kupindukia mnatusumbua mitaani,hivi huko Urusi mliambiwa pombe ni maji ya kunywa? mimi nasikitika sana na nyie wasomi wa Urusi afadhali JK asiwakumbuke kwa lolote maana ni hasara kwa taifa,bora hiyo hela ya kuwasaidieni nyinyi ikajenge dispensary kijijini kwetu.Osheni vizee na kubeba mabox mpate nauli ya kurudi nyumbani,mje tulime Mananasi kiwangwa huku Bagamoyo na kuyauza sokoni Gezaulole!! kama una hasira na ujumbe huu nione hapa makiromaro@yahoo.com
ReplyDeleteASANTENI watanzania mnao tuunga mkono huku urusi ila si mlisikia wanafunzi sita ambao walifutiwa udhamini na kurudishwa nyumbani kama wezi au waarifu?????? jamani hali ilikuwa ivi waliwalikuwa niviongozi wetu walikuwa wanasimamia hakizetu na waligundua kuwa ubalozi umnafanya ufisadi wamali zaserikali pamoja nakutumia madaraka vibaya wale viongozi walikuwa wakihoji kwa undani na wakagundua ndipo kuna ufisadi mkubwa unafanyika wa kaona wacje wakaumbuka wakawadfutia udhamini na kuwaamuru warudi nyumbani wale viongozi waliteleza mengi mmno ndipo tukagundua ubalozi umefanya ufisadi mkubwa ambao kila mwaka ulikuwa ni si chini y milioni mia moja jamani hiii ni haki kweli? tunaomba tusaidiwe hawa viongozi warudishwe na mafisadi hawa wachukuliwe hatua serikali iliyo wapereka wanafunzi ambao ni viongozi wabadae eti ndo inawafutia udhamini na kuwarudisha nyumbani kisa wamesema ukweli na kuwafichua mafisadi ukiuriza urusi nzima utaambiwa jinsi ubalozi wetu waurusi unavyo tunyanyasa tuna taabika sana huku kikwete upo wapi je tunaomba hawa wanafunzi warudishiwe udhamini nakurudishwa shuleni ni aibu kubwa sana ata mkuu wachuo chaurusi anaicheka serikali yetu anasema serikali hihiyo iliyo waleta ndio inayo warudisha kisa wamesema ukweli? jamani sasa tunaanda viongozi au mbumbumbu? wasiojua kuhoji? wapi tunakwenda? ata kama mmeshika makali haijalishi tundeeni hakizetu kikwete waangarie wanafunzi waliorudishwa na kufutiwa udhamini pia tuangalie na sisi,ubalozi unapewa fungu la kufanya sherehe zaserikali lakini ubalozi unafanya na familia zao? hela zaserikali na sherehe zaserikali nisiku zakufanya sherehe na familia zao hii inaingia akilini kweli jamani?
ReplyDeleteDA POLENI VIJANA NA HAO VIONGOZOI WENU WAPO WAPI SASA?ILA KIKWETE UPO HAPO? ANGALIA VIJANA WANAVYO KUSAIDIA KUFICHUA MAFISADI!!!!!!! BASI SI HUKU2 ATA BALOZI ZINGINE ZINZ MAPUNGUFU DU HIII BALAAA KIKWETE WASAIDIA HAO WALIOFUTIWA UDHAMINI WALUDI SHULE HUWEZI JUA NDO VIONGOZI HAO MBONA SAMWELI SITA ALFUKUZA MLIMANI SASA SPIKA
ReplyDeleteWE Anony wa 07:27 kweli hauna akili hata kidogo na labda naweza kukuita TAHAIRA. Huwezi kuanza kuwakashifu wenzako kwa kuwa eti wana shida. Mimi naandika ujumbe huu kama mzazi mwenye uchungu na ningependa ndugu zangu wengine mchangie mada hapa ili tuweze kuwakomboa watoto wetu hawa.
ReplyDeletelakini je JK anajua suala hili la wanafunzi waliofutiwa udhamini heti kisa ni viongozi wa WATAFUTA HAKI?
KAma anajua je amechukua hatua gani? na kama hafahamu kabisa suala hili, basi litakuwa limeendeshwa kienyeji kwa kuwa siyo ubalozi ambao umewadhamini vijana hawa bali ni bodi ya mikopo na serikali kwa ujumla.
ukifuatilia vizuri suala hili hapa utagundua ya kwamba hawa walirudshwa ili kuficha MAOVU ya MAFISADI wa huko ubalozini. je tutafika?
ningeomba ndugu zangu wa huko urusi mtume picha zao ili zianikwa hapa ili ajulikane vizuri mtu anayehusika na tabia hii mbovu yaani UPUUZI.
POLENI SANA VIJANA WANGU, ILA IPO SIKU UKWELI UTAJULIKANA TU.
nikisome habari hii nahisi kububujikwa na machozi. lakini raisi analijua hili au ndiyo wanaamua tu wanavyotaka kufanya na kuwakatisha masomo vijana wetu.
ReplyDeleteUFISAAAAAAAAAAAAAAADI NI SUMU YA MAENDELEO.
ReplyDeleteNiviGuMU saNa Kwa FiSAdi KUKusaidia wewe KUa Fisadi badala ya KUwAsaIdia WAnawe.KuWa FisaDi BonGo sI LelE MamA KAma WazAzi WAko Sio MafiSADI.
ReplyDeleteHao waliofukuzwa wakasome open univeristy Bongo! Chuo hicho nakiaminia ni shule tu hakuna cha Mgomo wala nini! Ukigoma unaugomea wakati,nani kasema eti waweza kubishana na muda? Wanafunzi wote muwapo mashuleni au vyuoni zingatieni lililowapeleka huko na sio kugoma eti mnatetea haki za wanyonge! Matokeo yake ndio hayo sasa wenzio wanamaliza chuo wewe kutwa kucha kwenye internet! Tovuti sio suluhisho,jipangeni sawasawa muangalie mstakabali wa maisha yenu ya baadae.Tatizo masikini akipata kidogo tu matako hulia mbwata,mlienda Urusi mkasahau kama mmetoka kwenye nyumba za nyasi,mkasahau maisha ya kuchunga ng'ombe mkazuzuka na selfcontained rooms na wine! U were supposed to do the right thing at the right time,kwani wangapi wamesoma huko Urusi wakamaliza chuo hata kama ni kwa tabu hata huku bongo watu wanasoma kwa tabu na wanamaliza ila wale wenye kujifanya wanatetea haki za wanyonge ndio wanafanyiwa kitu mbaya kama mlivyofanyiwa nyinyi.Hata hivyo siwalaumu sana lazima awepo mtu wa kujitoa sadaka kwa ajili ya wenzie,haya sasa wenzenu watakuwa ma boss nyie bado mnan'ang'ana eti tulikuwa tunateta haki za wanyonge.Bongo sio kama Ulaya Bongo kila mbuzi anakula kulingana na ukubwa wa kamba yake.KUMBUKA METHALI HII,Mchuma janga hula pamoja na watu wa nyumbani kwao.So its you and your family/clan,watu wengine hayawahusu kabisaaaaa!
ReplyDeleteIVI WE HAPO JUUU UMESOMA KWELI NDUGU YETU MBONA UNAONEKANA KAMA UMEISHIA DALASA LA4,DA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO JAMANI HAPA KAMA WATANZANIA TUANGALIE NCHI YETU WAPI INAELEKEA? MIMI KAMA MZEE NAJUA HAYA MASWALA VIZURI KWAMBA LAZIMA NCHI YETU ITAANGAMIA PUNDE SI PUNDE MNYONGE SIKUZOTE HANA HAKI LAKINI SASAIVI TUBADILIKE TUSISEME HUYU MASKINI KAMA ANAONA MAOVO SIYAKEMEE KISA ATAKANDAMIZWA NA UMASKINI WAKE BOLA HIVYO KULIKO KUNYANYASIKA WEWE KIJANA HAPO JUUU MBONA UNASIKITISHA NA KUKATISHA TAMAAA
ReplyDeleteMay be I might be out of track!! Hebu niambieni specifically,ninamaanisha kinagaubaga nini tatizo hasa.Maana naona mnalalmika mnanyanyaswa sijui bla bla blah! You tell us mnanyanyaswa kivipi halafu swali la pili kwani nyinyi mlipelekwa Urusi na serikakali (direct govt scholarship)au Mliomba serikali iwasaidie baada ya nyinyi kutokuwa na uwezo wa kujisomesha? Swali la tatu,kwani huko hakuna kazi ya kubeba mabox etc kama zilivyo UK and USA angalau mpate hela ya kujikimu? Swali la tano,how did u manage to get the scholarship,ilitangazwa gazetini or through UFISADI wa kujuana? I have a number of questions to ask lakini mnijibu hayo machache kwanza.Please majibu yawe listed kama jinsi nilivyouliza na yawe straight,no going through the bush!!
ReplyDeleteAnony wa 22:15 inaonesha ni mtu mmoja wapo anayehusika na kurudishwa kwa hawa wanafunzi na kama siyo basi ni mtu ambaye yuko karibu na mafisadi. Ukiwa kama mtu mwema huwezi kuongea kama hivyo kwani ni kuwakashifu na kuwavunja moyo wengine.
ReplyDeletesuala la kutetea haki ni suala la msingi kwa kila mmoja wetu sema tu watu wengi hushindwa kutetea haki zao kutiokana na viongozi kutumia NGUVU badala ya BUSARA.
Ningependa kuwasifu vijana waliorudishwa huku nyumbani kutokana na ku- fight against their right hili ni suala zuri sana kwana walifanya hivyo ili kutetea haki zao.na ninawapa moyo nikiwa kama mzazi ya kwamba wavunjike moyo kwani maisha yao yanaweza kuchange anytime kutokana na juhudi watakazokuwa nazo.
Pili ningependa kusema ya kwamba kitu walichonanyiwa vijana hawa kwa kweli siyo uungwana kabisa na hata wale mliobakia huko urusi msichooke kuungana katika kutetea haki zenu kwani HAKI ni kitu cha msingi kwa binadamu yeyote yule.
HAWA VIONGOZI WALIOFANYA SUALA HILI LAZIMA WASHUGHULIKIWE MARA MOJA.NA MTAYAONA MAJIBU HIVI PUNDE.
SITAKI MNIJUE MIMI NI NANI LAKINI NAWAHAKIKISHIA YA KWAMBA HAKI ITATENDEKA SOON.
MUNGU ATAWASAIDIA VIJANA WANGU, MIMI NAWAUNGA MKONO..
ATA MIMI KAKA HAPO JUU NA KUUNGA MKONO KUNA WATU UJUE WANA UPEO MDOGO WAKUFIKILIA CIJUI WANALOPOKA AU? MAANA HAPA NISEHEMU YAKUBADILISHANA MAWAZO NA KUSEMA UKWELI LAKINI UTAKUTA ANALOPOKALOPOKA2 KAMA UNATAKA KULOPOKA NENDA KWA ZEUTAMU BWANNA!!!!!POLENI VIJANA MUNGU YUPO NANYI HAO MAFISADI DAWA YAO IPO JIKONI ILA ITAKUWA KWELI JAMANI KAMA MDAU MMOJA ALIVYOSEMA HAPO JUUU HUENDA WAMEWALUDISHA ILI KUFICHA KITUFLANI! HAIWEZEKANI UWARUDISHE NAMKUWAFUTIA UDHAMINI MBONA SISI HAPA UDSM TUNAGOMAA NA HATUFUTIWI UDHAMINI??????? HAPO MI NDO NAJIULIZA HUENDA KUKAWA KUNAUFISADI MKUBWA HAPA UMETENDEKA NA UNAENDELEA KUTENDEKA JAMANI TUSIKAE CHINI TUUUU NA KULAUMU HAWAVIJANA LAZIMA KUTAKUWA KUNA JAMBO HAPA!!! KIKWETE UPO? EBU FANYENI MAALIFA HAWA VIJANA WALUDI SHULE JAMNI AIBU KWELI!! NAWALE WAURUSI WATAKUWA WAHOGAKWELI KUSEMA UKWELI SI WENZAO WASHAFUTIWA UDHAMINI SASA NDO UFISADI UNAFANYIKA KIULAIIIINI KWELI SERIKALI KIBOKO!!!!! NANYIE WA URUSI MLIKUWA WAPI MPAKA ENZENU WANALUDISHWA? INAELEKEA PIA KUNA WANAFUNZI WAPO KWENYE UFISADI MMMMMMHHHH KAZI IPO!!!
ReplyDeleteSIKU ZOTE NDUGU ZANGU ukweli unauma. hawa mafisadi wanajua kabisa ya kwamba wanayoyafanya hayaendaNI NA haki za binadamu ndiyomaana wako against na sisi.
ReplyDeleteNINGEPENDA SERIKALI YETU IWASAIDIE VIJANA HAWA HATA MIMI IMENIGUSA MOYONI NASIKIA UCHUNGU NIKIWA KAMA BINADAMU.
UFISADI UFISADI UFISADI Tutauimba sana ila kama hatutaungana na kuwa kitu kimoja basi ni kazi bure
ReplyDeleteLAZIMA UFISADI UISHE MWAKA HUU
ReplyDeleteStop going around the bush guys! Si mseme sababu zilizowapelekea hadi mkashindwa kuendelea na masomo.I'm here to assist helping you,sasa kama hakuna anayeeleza ukweli mtasaidiwa vipi? Hebu kuweni kama watu waliokwenda shule,tatizo ni nini hasa? Mie nawaunga mkono hao annonys waliotangulia ambao wako tofauti na nyie simply because hamtaki kueleza chanzo au sababu za msingi za sakata hili,mnatuambia mlikuwa mnatetea haki za wanyonge,sis tunataka mtueleze ni haki zipi toa na mfano kabisa ili mtu alie layman kama mimi aweze kuelewa.Please let us know!!! Again u never know who I am!!!!!
ReplyDeleteUshauri wangu, ombeni transfer muende kumalizia chuo UDSM au MU-Mzumbe University,Muhimbili,SUA,SAUT,TUMAINI,OUT, just to mention the few siku hizi bongo vyuo vingi haina haja ya kwenda nje hasa sisi watoto wa masikini.Mimi nimesoma UDSM na sasa niko UK kwenye short training ya 1 month.Kuna tatizo hata kwa option hii????? Ila poleni sana
ReplyDeleteHawa jamaa wana stress! Nadhani pombe inawasumbua kivchwani.Big up Annony 07 2009 22:15,unajua watu hawapendi kuambiwa ukweli wanadhani kusoma nje ndio big deal,eti mnalalamika Mafisadi wanapeleka watoto wao UK and US na nyie masikini mnapelekwa Urusi,nijuavyo mimi watoto wa masikini wamejazana UDSM,Mzumbe,IFM na SUA,sasa nyie wenzetu hadi mkapanda ndege kwenda kusoma nje bado mnajiita masikini...ama kweliukubwa wa pua si wingi wa kamasi! Si mliambiwa mrudi nyumbani mkapewa facilities zote ili kufanikisha ujio wenu huku nyumbani,so what else do u want!!?
ReplyDeleteWAMERUDI BONGO WAKATUTA WENZAO WANA DEGREE TAYARI NA MAMBO YAO YAKO KWENYE MSTRARI! KWANZA URUSI NDIO INAFUNDISHA UFISADI SI AJABU NA NYIE BAADA YA MIAKA MITANO MTAKUWA KAMA WAO!!!
ReplyDeletewatu bwana eti u dont know whom I am,si uwasaidie basi kama una uwezo!! Ila hata mimi sijui hizo haki wanazozitaja,will be back baadae!!
ReplyDeleteeee jamani kazi kalilkweli!!!!!! kilicho baki nyie serikali isipereke wanafunzi urusi kwanza na skia walevi
ReplyDeletejamani jamani mbona mimi siwaelewi hapa. ila nimegundua kuna pande mbili hapa. Upande wa kwanza ni wanafunzi na mwingine ni wahusika wa kasfa hii na nina uhakika kuwa ndio wao kwa kuangalia tu hizi comment. Lakini suala la msingi ningesema kuwa maji yakishamwagika hayazoleki nikiwa na maana ya kwamba hao wanafunzi waliofutiwa uzamini kwa ninavyoifahamu serikali yetu ndiyo imeshatoka na ningependa kuwashauri kwamba siku nyingi muwe mnaungana wote kwa pamoja bila kuchagua viongozi wala wawakilishi na mtetee haki zenu. kwa kufanya hivi hawa mafisadi hawataweza kuwarudisha nyumbani na watasema nini kwa serikali. hawana la kusema. kama ntafanya hivi basi mambo yenu yatanyooka. na nina uhakika kabisa kwamba hawa wenzenu wamerudishwa kiholela bila serikali kujua.
ReplyDeleteAsanteni jamani.
JE RAISI WETU JK ANALIJUA SUALA HILI AU LILIENDESHWA KIENYEJI
ReplyDeletejamani raisi wetu tunaomba ulifuatilie suala hili ili watoto wetu waweze kuendelea na masomo yao manaake watakuwa ndio viongozi wa baadaye.
ReplyDeleteTANGU LINI NGOMA YA WATOTO IKAKESHA? ACHENI KUPOTEZA MUDA WENU,TAFUTENI MAARIFA MENGINE,MJUE MTAPAMBANAJE NA MAISHA.JK HANA MUDA WA KUONGEA NA NYIE WATU WATANO WAKATI KUNA WANAFUNZI ZAIDI YA ELFU 10 KWENYE VYUO VIKUU VYA HUKU BONGO ANAWAHUDUMIA.
ReplyDeleteAnony wa 00:40 hapo juu U r wrong. inawezekana kiongozi wetu (raisi) akatokea kwenye hawa wanafunzi watano na sio hao elfu 10. kitu ambacho nimejifunza hapa ni kwamba wengi tuna mitazamo tofauti ambayo haina umuhimu katika maisha yetu. suala ni kwamba hawa vijana wetu wapo mbali na nchi yao wako ugenini so inabidi waangaliwe au mnataka kuona wanarudishwa wakiwa kwenye majeneza ndiyo mtafurahi? kwa nini hatua roho ya kibinadamu jamani?
ReplyDeleteNAOMBA KAMA NNACHANGIA MADA HAPA BASI MJARIBU KUCHANGIA KITU AMBACHO KITASAIDIA NA SIYO KINAVUJA MOYO.
ASANTENI.
balozi JAKA MWAMBI anasemaje kuhusu suala hili nanaake alikula kiapo ya kwamba atasimama kwa ajiri ya nchi yake wakati akiapishwa na JK je ANAWAJIBIKA? ATAWAJIBISHWA?
ReplyDeleteUshauri wa bure! andikeni majina yenu na habari hii yote..pamoja na statement from your univerisity head..official statement on headed paper..alafu upload hapa watu tulipue magazetini bongo...kama mnataka haki itendeke msilalamikie JK..seek sympathy from the tanzanian public through the media sio zeuchungu or blogs..mkilipua hii habari kwenye magazeti..mtaona ubalozi wa urusi utavyohahaha..stand together and get this done..lakini muwe na facts! hata warecodini hao wafanyakazi wa balozi hata balozi mwenyewe akiwanyima haki..it will make your case stronger than kuja hapa na kulia.
ReplyDeleteGuys
ReplyDeleteisue hii sioni kama ni ya kusumbua kichwakiasi hiyo. Any student ambaye ametumwa na serikari bado ni mwanavote hai wa jimbo lake pamoja na wanacnhi wanzake wa jombo hilo, la msingi ni kuwawajibisha mbunge wenu maana ninyi ndiye waajili wao.kama hawawezi kuyafikisha matatizo yenu bungeni kwa nini wabaki kenye ajira.Ni haki yenu wasikilize tuhuma zenu za abuse mnazozipata(ambayo ni kinyume na haki za binadamu). kama wameamua kuto wasikiliza,you have the wright kulipeleka suala lenu kwenye vyombo vya kimataifa.They will be more then happy to listen to your complains. msilalamike kama vile watu amabo hawajaenda shule. kufika ng'ambo maana yake mnayo scope kubwa kuliko yule mkulima mliyemwacha mashambani. yuo need to act and follow procedures. wabunge wako chini yenu sio wao kuwa juu yenu. Wanapaswa wawapatie jibu lolote watakaloulizwa hata kama wao wanaona ni ya kijinga.Wako bungeni kuwawakilisha ninyi for any existing issues.Wake up folks!!!!
Cheers