HUYU NDIYE MAMA REGINA CHILUBA MKE WA ALIYEKUWA RAISI WA ZAMBIA MH. FREDRICK CHILUBA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MUMEWE KWENYE MOJA YA MOKUTANO.
MAMA REGINA CHILUBA ALIHUKUMIWA KWENDA JERA KWA MUDA WA MIAKA (MITATU NA NUSU) MARA BAADA YA KUPATIKANA NA HATIA YA KUTUMIA PESA YA UMMA KINYUME NA SHERIA. KAMA VILE KUNUNUA MAJUMBA MAWILI YA KIFAHARI NA MATUMIZI MENGINE MENGI TU.
NDUGU ZANGU NIMETUMA PICHA NA HABARI HII ILI IWAPE CHANGAMOTO NA KUONA NI JINSI GANI NCHI ZA WENZETU JIRANI ZINAVYOFUATA CHERIA NA HAKI ZA BINADAMU BILA KUJALI TABAKA.
JE WATU KAMA VILE MAMA ANA MKAPA WANAWEZA KUCHUKULIWA HATUA KAMA HIZI ZA KISHERIA ILI KUWAPO NA USAWA KTK JAMII.
JE PESA WALIZOTUFIRISI ZITARUDI NA KAMA NDIYO BASI NI NANI ATAKAYEANZISHA HILI NA NI LINI?
KAZI KWENU WADAU NCHI YETU ISHAUZWA HII.
SHERIA INAWEZA KUTENDEKA LAKINI SIYO KWENYE SERIKALI YA JK, HII NI NDOTO.
ReplyDeletejamani mimi ningependa kuona huyu mama ANNA MKAPA ambaye naye amekula sana pesa za umma kipindi cha basha wake mzee upara naye akamatwe ili afunguliwe mashtaka kama walivyofunguliwa kina mramba , yohna na liyumba wa BOT
ReplyDeleteDUUUU KWELI MMEMPANIA MAMA ANNA UTAFIKILI NDIYE FISADI PEKE YAKE.
ReplyDeleteUKWELI NI KWAMBA MAMA HUYU BOMBA ANGEKUA BONGO NINGEFANYA KOSA NIENDE SEGEREA KUSUDI NIMKAMUE KIZENJI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletehahahahahahahahaha anony wa 04:00 hata kama ukifungwa hautapelekwa jela aliyoko mama huyu kwani yeye yupo VIP. wewe utapelekwa ya walalahoi kama mimi.
ReplyDeletedu kweli kuna serikali zikiamua zimeamua bila kujali tabaka wala dini.
ReplyDelete