nduGu yetu Bw. zeuchungu sisi ni baadhi ya wanafunzi ambao tuko huku URUSI kwa ajiri ya masomo lakini jinsi tunavyofanyiwa na ubalozi huu wetu wa huku chini Ya bw. JAKA MWAMBI kwa kweli ni kinyume na haki za binadamu na ni manyanyaso. Hali tuliyonayo huku ni mbaya kuliko maelezo yaani kazi hakuna, hata ya kuokota mawe na hawa viongozi wetu ubalozini hawajishughulishi na sisi katika kuhakikisha tunapata mahitaji yetu tukiwa kam watanzania na wanafunzi.
SASA JE SISI TUTAJIVUNIA NINI KUITWA WATANZANIA?
JE HIVI NI KUTUSAIDIA AU KUTUPOTEZA KIMAISHA?
TUTAWEZAJE KUJIKIMU NA HALI NGUMU YA MAISHA IWAPO HATUNA PESA?
JE HALI HII ITAISHA LINI?
JAMANI NAOMBA MFIKISHIANE UJUMBE ILI HABARI HII ITOLEWE KWENYE MAGAZETI NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI ILI TUWEZE KUSAIDIWA . NDUGU ZETU WADAU TUNAWAOMBA SANA KWA HILI.
ASANTENI.